Washabiki wa Nyumbu fcKama tunavyofaham ndugu zangu, kila wikiendi lazima kue na sadaka moja ya EPL. Mech ya liverpool ile ilikua ina uzito sana sana mana timu zote zilikua kubwa. Mjiandae kisaikolojia.
Sadaka ya Epl ya leo ni nyie
Mkuu tunaingia tena mchana kweupe. Arsenal na chelsea ni ishu ya ratiba tu kwao na kupata pesa za kuangalia mech ila uhalis upo tayarWashabiki wa Nyumbu fc
Ni ramli tu ndio kazi yenu kwa sasa
All in all sioni mkiingia big4
13SEPTEMBER
Mkuu ulishapata kazi ya kunyoa???Arsenal 0-1 Newcastle full time score
Hahaha bas sawa mkuu yetu machoMkuu tunaingia tena mchana kweupe. Arsenal na chelsea ni ishu ya ratiba tu kwao na kupata pesa za kuangalia mech ila uhalis upo tayar
Nimerudi bana naona slow game sema Iwobi wakuuza na mustafi wakuuzaTupo ndugu, umepotea
Leo Tunaomba Mungu asaidie tuingie nafas ya tatu
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahaaaaa
Hapna mkuuu...ni juz jumamos mambo yalikua vizur sanaHahaha bas sawa mkuu yetu macho
Tuweke akiba ya maneno
Vp leo jamv haujatandika?
13SEPTEMBER