Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu Alaba bado yupo njema sana kwanza ndio ana miaka 27,
Mkuu Alaba bado yupo njema sana kwanza ndio ana miaka 27,
Halafu Alaba kama full back bado atatusaidia maana akitoka Kolasinac , shughul ni ile ile,
Chakuomba bodi iwe serious ,maana tayari mwenye Alaba alishasema Yeye ni shabik wa arsenal na siku moja anataman kuchezea Arsenal.
Ujio wa Harnandez unaweza kutupa nafuu kumpata Alaba kwa bei nzuri tu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu kwa namba 3 tunahitaji mtu pale ,maana nacho anasepa anabak kolasinac pekee, na kolasinac huwa huwa ana majeruhi Mara kwa Mara, hivo kwa msimu ujao lazima tuingie sokon kutafuta fullback experienced kama Tagliafico, Alaba , hatuwez kuwa serious kama tutabak na kola halafu wakumsaidia awe kinda,hernandez amenunuliwa kwa hela ndefu kuja kumreplace alaba,siyo kama back up! na mara nyingi footballers wakianza kutumika mapema wanachoka mapema kabla hata ya kufika 30, chukulia mfano wa michael owen! sikatai kama hawezi kutufaa. kuja kwake kunazuia kijana kukua, mfano mkubwa ni alivyo patikana bellerin
kwel mkuu Apo umenenaMkuu kwa namba 3 tunahitaji mtu pale ,maana nacho anasepa anabak kolasinac pekee, na kolasinac huwa huwa ana majeruhi Mara kwa Mara, hivo kwa msimu ujao lazima tuingie sokon kutafuta fullback experienced kama Tagliafico, Alaba , hatuwez kuwa serious kama tutabak na kola halafu wakumsaidia awe kinda,
Kwa beki namba 2 tusiponunua sitashangaa maana belle akirud , atasaidiana na Dogo Ainsley Maitland Niles ambaye binafs namkubali akicheza kama WINGBACK , na Sio kama Bek namba 2
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
"dogo" AMN ni kiraka anapiga (deputise) kote kote lwb or rwb ingawa amezaliwa kama midfield wa chini, na kola ni mzuri kwa kwenda mbele (kushambulia) ulinzi hayuko vizuri! lakin kama tushawah kutengeneza kina cashley cole inakuwaje?Mkuu kwa namba 3 tunahitaji mtu pale ,maana nacho anasepa anabak kolasinac pekee, na kolasinac huwa huwa ana majeruhi Mara kwa Mara, hivo kwa msimu ujao lazima tuingie sokon kutafuta fullback experienced kama Tagliafico, Alaba , hatuwez kuwa serious kama tutabak na kola halafu wakumsaidia awe kinda,
Kwa beki namba 2 tusiponunua sitashangaa maana belle akirud , atasaidiana na Dogo Ainsley Maitland Niles ambaye binafs namkubali akicheza kama WINGBACK , na Sio kama Bek namba 2
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
😅😅😅😅😅Kesho nafas ya 3 kiulaini
Asanten liverpool
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Top3 banaTop four inatuhusu. Naomba kesho tushinde hiyo mechi dhidi ya Newcastle United
Sent using Jamii Forums mobile app
Unateseka sana,