Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mchezaji gani aliyetoka Manure akaenda arsenal akang'aa? Apo Herrera akikubali atakuwa anejivunjia heshima sana ..kuchezea arsenal ni sawa na kukosa option tu kwenye maisha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tutawapata watu hawa watatuboost kiaina, tutatoka hatua moja na kusogea hatua kadhaa mbele.◘ Alaba and Umtiti Arsenal's main transfer targets
◘ Feeling within the club is deals can be done for both
◘ Emery sees centre half as a key area to improve
◘ Club wants to give Emery up to 5 summer signings to help Arsenal mount a title challenge next season
[Independent]
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nilijua Air hostage, sorry air hostesses.Dubai, we're on our way!
Travelling in style with EmiratesView attachment 1050463View attachment 1050464View attachment 1050465
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini target inakuwa kwa hawa failures, bado hatujajufunza kwa Suarez, tuwaamini vijana tuwatengeneze watakuja kuwa vizuri tu, mavropro na yule wa kingreza! Naamin with proper game time na proper training wata prosper tu, tuwaaminKama tutawapata watu hawa watatuboost kiaina, tutatoka hatua moja na kusogea hatua kadhaa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umtiti na alaba sio failure kama Suarez, hawa wameonesha kitu binafsi hata mimi usajili wa suarez niliupinga humu.. Vijana wataimprove taratibu ila sio wa kuwategemea full season.Kwa nini target inakuwa kwa hawa failures, bado hatujajufunza kwa Suarez, tuwaamini vijana tuwatengeneze watakuja kuwa vizuri tu, mavropro na yule wa kingreza! Naamin with proper game time na proper training wata prosper tu, tuwaamin
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaba yupo post his best that's why wanamreplace!Umtiti na alaba sio failure kama Suarez, hawa wameonesha kitu binafsi hata mimi usajili wa suarez niliupinga humu.. Vijana wataimprove taratibu ila sio wa kuwategemea full season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai yaweza kuwa ila kwa arsenal anatufaa, bado ana uwezo ana uzoefu pia, yote 9 lakin tiku km hizi zinaposajili huwa haimaanishi fulani kaisha ila wanaongeza nguvu katika eneo husika, cheki man city kosi lao anaeanza na anakaa benchi wote jamii moja, ila sisi akitoka huyu ndio imeisha, wachezaji wenyewe quality first eleven ni wa kubangaiza.
TUKO pamoja brother ila natamani kuona tunaachana na haya makapi, tutengeneze kikosi au tuchukue wakiwa on their way up, au wakiwa kwenye peak kama tulivyofanya kwa auba! check kwa leichensteirner sijui kama nimepatia jina!Sikatai yaweza kuwa ila kwa arsenal anatufaa, bado ana uwezo ana uzoefu pia, yote 9 lakin tiku km hizi zinaposajili huwa haimaanishi fulani kaisha ila wanaongeza nguvu katika eneo husika, cheki man city kosi lao anaeanza na anakaa benchi wote jamii moja, ila sisi akitoka huyu ndio imeisha, wachezaji wenyewe quality first eleven ni wa kubangaiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, tupo pamoja.TUKO pamoja brother ila natamani kuona tunaachana na haya makapi, tutengeneze kikosi au tuchukue wakiwa on their way up, au wakiwa kwenye peak kama tulivyofanya kwa auba! check kwa leichensteirner sijui kama nimepatia jina!