Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe fala kweli ,Ndio ujinga wa gooners gay huu....wanatoa mtoto huko mchangani anacheza mechi tano,sita basi wanataka dunia iamini ni mchezaji bora sana. Yule Taahira na Andazi wameishia wapi? Baada ya kucheza mechi mbili tatu, tulipigiwa kelele hapa "hawa jamaa ni vitasa" leo hata first eleven hawaonekaniTimu kubwa kama Mashetani wekundu mpaka ucheze mechi 40/50 ndio tukufikirie fikirie ubora wako. Jifunzeni kwa wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza fananisha Garasa lako Fred na Fund mruguay ?
Na mtaendelea kuuziwa magarasa kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
