Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hahaha sasa nyie mna malengo ya kuchukua ubingwa upi mkuu?Kwa akili yako ulitaka nianze na timu yako. Kila timu iliyo ligi kuu malengo ni ubingwa. Malengo yetu arsenal ni ubingwa nje ya hapo ni ajali tu. Ukiona imeuma panga ya kwako uanze na timu yako.
We are the gunners forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri ingekuwa hivo unavyosema ,bas HEAD TO HEAD ingekuwa arsenal win 0Huyo ni shabiki wa Chelsea!
Ila kusema utamfunga man utd ni kujifariji maana wewe mwenyewe unajua mziki wake....si juzi juzi tu hapa walikuja hapo unapopaita kwako Emirates na kakupiga cap 3-1.
Sijajua unazungumzia kwako wapi!?
Mwaka Jana nekupiga nje-ndani !
Wewe ninakupiga popote iwe kwako au kwangu... Kama huamini subiri uimbishwe kichina tena .you are always looser!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni wa man. Nashukuru umempa jibuHuyo ni chelwowo
Anauliza final tumeingia lini
Wakat ndan ya miaka 3 iliyopita nimecheza nae fainal 3 hapo Wembley na zote kala kipigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Hizi mechi naion Man City wakitangwazwa mabingwa na Toteham wakitolewa nafasi ya tatuMechi kali za vigogo EPL
Machi 2: Tottenham v Arsenal
Machi 10: Arsenal v Man United
Machi 31: Liverpool v Tottenham
Aprili 14: Liverpool v Chelsea
Aprili 20: Man City v Tottenham
Aprili 24: Man United v Man City
Aprili 28: ManUnited v Chelsea
Haya kakojoe ulale!Uhalisia uliopo.
Arsenal atashinda game na toten lakini game yake na mwanitesa United itakuwa ngumu sana. Manchester hawezi shinda pale Emirates kwa sasa akipata ushindi mkubwa itakuwa sare ambapo bado atabaki kuwa nyuma ya arsenal endapo pia atampiga soton.
Ktk game ya man na arsenal manure watapewa point chache na arsenal atapewa nyingi ambapo wengi watazikimbia na zitatoka.
Utabiri wangu ni kuwa totenham top 4 atatolewa kwani kikosi kimeoza pia inaonekana kuna underground conflict kwa wachezaji.
Top 4
Arsenal
Man city
Liverpool
Man
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaanze kulala wewe watoto wenzako wanakuacha, wakubwa bado tunaongea na kupanga mipango ya kuwalea.
Fainali mbili Dogo. Zote mlishinda kwa kubebwa bebwa tu..Huyo ni chelwowo
Anauliza final tumeingia lini
Wakat ndan ya miaka 3 iliyopita nimecheza nae fainal 3 hapo Wembley na zote kala kipigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira kuna plan B. Mimi nipo na unaiKiukweli first eleven sijaipenda
View attachment 1035992
What if unaingiza plan B ushapigwa 3. Mpira magoli mwanzo