OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Chelsea hafungwi Mara mbili na timu moja ..kwa sasa hatuna cha kupoteza..Si juzi tu nimekupapa 2-0 tena kwako... unategemea uje uushinde OT?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhana ww , huna timu kwasasa,Hao liver na man u unawaogopa sana..
Yeyote anayekatiza mbele ya chelsea ni halali yetu..
Kwa sasa hatuna muda wa ugenini au nyumbani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnavyofanya ww na tot,Hahahaha Huwa mnagawana gemu na Spurs ..mkishinda ya kwanza yeye atashinda ya pili..
Sioni kama Spurs anamuda wa kupoteza tena ..
Come on Spurs ..the Prince of London..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaokuja EMIRATE watambue sio mahala salama
Most home points in the Premier League this season:
Man City: 39
Arsenal: 35
Liverpool: 35View attachment 1032078
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisia uliopo.Hahahaha Huwa mnagawana gemu na Spurs ..mkishinda ya kwanza yeye atashinda ya pili..
Sioni kama Spurs anamuda wa kupoteza tena ..
Come on Spurs ..the Prince of London..
Sent using Jamii Forums mobile app
*Mashabiki* *wa* *Chelsea* *wanatamani* *Kuongea* *kuwa* *Arsenal* *Jana* *kamfunga* *kibonde* *Goal* *5* *ila* *wanaamua* *tu* *wakae* *kimya* *wanapoona* *Haya* *Matokeo*
*Bournemouth* *4-0* *Chelsea*
*Arsenal* *5-1* *Bournemouth*
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo top four yako umeiokotea wap?Uhalisia uliopo.
Arsenal atashinda game na toten lakini game yake na mwanitesa United itakuwa ngumu sana. Manchester hawezi shinda pale Emirates kwa sasa akipata ushindi mkubwa itakuwa sare ambapo bado atabaki kuwa nyuma ya arsenal endapo pia atampiga soton.
Ktk game ya man na arsenal manure watapewa point chache na arsenal atapewa nyingi ambapo wengi watazikimbia na zitatoka.
Utabiri wangu ni kuwa totenham top 4 atatolewa kwani kikosi kimeoza pia inaonekana kuna underground conflict kwa wachezaji.
Top 4
Arsenal
Man city
Liverpool
Man
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka lakin goli la Dele Alli alivyomchopu Peter cerch?!Mtazamo kuelekea north London Derby kikosi changu
A
Leno
Sokratis
Koscielny
Nacho
Carl jenk
Torreira
Xhaka
Kola
Mikh
Auba
Ozil
B
Leno
Carl
Kola
Sokratis
Koscileny
Xhaka
Torreira
Mikh
Ozil
Iwobi
Auba
Tukimtumia laca ama auba kama plan b itakuwa super sana na sio wakianza kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sarri ball mnatamba hadi ze gunnerz
Nakumbuka ligi tumewalamba 4-2
Nenda kachat peke yako kwenye uzi wako,ha ha ha ha
yani UZI huu bwana wakianza kushinda tu kosa yani wao ndo wachambuzi bora
possible lineup ya next week daah
ha ha ha noma sana
cityzen chairman am here
Mm nikushauri tu, zari ball inawapeleka mtaa wa 6 na ndipo panawafaaIyo top four yako umeiokotea wap?
Mbna hakujawahi na hakutatokea kuwa na top four ya namna hiyo..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako ulitaka nianze na timu yako. Kila timu iliyo ligi kuu malengo ni ubingwa. Malengo yetu arsenal ni ubingwa nje ya hapo ni ajali tu. Ukiona imeuma panga ya kwako uanze na timu yako.Iyo top four yako umeiokotea wap?
Mbna hakujawahi na hakutatokea kuwa na top four ya namna hiyo..!?
Sent using Jamii Forums mobile app