Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu mbona umenijibu kawaida halafu unaanza kuusemea moyo wangu.? Kama nyie mmezoea majibu mabaya msitegee na sisi tutakua hivyo.Game tumeumizwa na waamzi openly as if ni game la mchangani halafu mtu unavamia jukwaa kuleta zengwe mie nakujibu vizr tu ila wewe utatafsiri kuwa ni matusi.
All in all simlaumu kocha nawalaumu waamzi tu. Tulipiga mpira mwingi wa maana tunafunga magoli yanakataliwa, penalty zinagomewa, tunapewa red card ambazo source ni waamzi. Yamepita tunawasubiri Emirates.
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepanic nyie. Wenge kama loteWewe umekulan6-0 tulia,
Hiyo mech sis tunajua mwisho wake ni emirates,
Wewe pambana na manyumbu ,kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
kama unafuatliaga legaes na genoa sawa lakini kinyume na hapo ww n mfuata mkumbo tu naana najua barca vs real/ atletico ndizo uonazoHuyo Robben mwenyewe kashapita huko. Lewandowski mwenyewe alitaka kwenda ila deal yake haiku materialise.
Pogba hajaitajika tu, angeenda mbio sana, stail ya mpira wake sio ya Spain. Kule akili nyingi zinahitajika zaidi ya nguvu. Ndio mana anakomaa na Italy na hapo Uingereza. Timu kubwa EPL ni kubwa kwa hapo EPL na ligi nyingine ndogo ndogo. Timu kubwa laliga ni timu kubwa duniani. Ila kama unazungumzia ukubwa wa kelele basi EPL ni kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Genoa inatafuta nini laliga??kama unafuatliaga legaes na genoa sawa lakini kinyume na hapo ww n mfuata mkumbo tu naana najua barca vs real/ atletico ndizo uonazo
hao hao kina real bets
Ulaya ni wapi kwani??hao hao kina real bets
Chunguza kw nn hata grezman hakwenda huko wachezaji wa Kibrazili ndio wna ramaa ya real na barca au maaamerika ila si ulay
Sasa ulitaka nisiwaseme waamzi ila niwalaumu wachezaji waliotimiza wajibu wao.Mkuu mbona umenijibu kawaida halafu unaanza kuusemea moyo wangu.? Kama nyie mmezoea majibu mabaya msitegee na sisi tutakua hivyo.
Hahaa.. Eti marefa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ninachojua Simba hakuna mtu anaitwa Zana koulibaly, hayupo kabisa .labda kama unamaanisha Zana Coulibaly.Hivi zana koulibaly wa simba na yule wa koulibaly wa Napoli ni ndugu?
Wenger on Ramsey leaving Arsenal:
"It will be a loss for Arsenal. I must say it will be an interesting move for Ramsey."
"He is a player who is great going forward. His main quality is he can keep the final ball and he makes interesting runs from deep."
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahaha ..mpira ungekuwa mrahisi ivyo mungebeba makombe miaka ya yote.
Ninyi bado hamna kikosi cha kuisimamisha Chelsea au Liverpool au Man city..
Apo OT shamba la bibi tunachukua point tatu safi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app