Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mumeisha nyie. Bora tupunguziwe mizigo tu.Uwanja mbovu, maamuz mabovu,
Unai kiburi kumuacha ozil
But game ya emirates tutwaua ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimtumie mama yako.Haya tuma salamu kwa watu watatu
Sent from my iPhone using JamiiForums
UONGO TU KWANI WAO WALIKUJANA JIKO WAKIOTA MOTOMsiwe na wasiwasi, Arsenal watashinda mechi ya marudiano kwenye uwanja wa Emirates.
Mechi ya jana ilichezwa kwenye joto la chini ya nyuzi 0 kwenye baridi kali hivyo kwa kiasi fulani kuliathiri uchezaji wenye ufanisi.
Halafu msisahau Lacazette alifunga goli na likakataliwa kwa sababu ya kuwa offside.
Isitoshe kuna wiki nzima ya kujiandaa kuja kuwashughulikia hawa watengeneza matrekta Alhamisi ijayo.
Ila hawa jamaa walijiandaa kwa kuwa na likizo ya baridi (winter break) kwa wiki tisa mfululizo hivy kuipa mechi ya Arsenal umuhimu wake.
Pia kama mnamkumbuka Alexandre Hleb nae alikuwa ni mmoja wa wachezaji wa kiungo wa timu hii huku akiwahamasisha wachezaji wadogo kwake kucheza kwa bidii (Hleb ana miaka 37 sasa).
Alex Hleb amehirisha kabisa kustaafu kucheza soka mpaka acheze na Arsenal mechi zote mbili nyumbani na ugenini, hivyo utaona jinsi hawa jamaa walivyojiandaa.
View attachment 1022896
Nacho Monreal, Alexandre Lacazette na Saed Kilasinac wakiwa wamevaa sweta za mikononi (Gloves) kutokana na baridi kali la nyuzi chini ya 0 mjini Barisaw nchini Belarus.
Mambo ya hali ya hewa si chochote kwa timu yetu kwani kila mchezaji alitimiza wajibu wake kosa ni maamzi mabovu ya refa kwani wachezaji wetu wamechezewa vibaya hatoi adhabu yoyote hali iliyopelekea wapinzani wetu kupata viburi wakawa wanafanya wawezavyo.UONGO TU KWANI WAO WALIKUJANA JIKO WAKIOTA MOTO
Footballer yeyote duniani mwenye kiwango bora ndoto yake ni Real Madrid na Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Robben mwenyewe kashapita huko. Lewandowski mwenyewe alitaka kwenda ila deal yake haiku materialise.Sio wote mkuu, wengi wenye ndoto hizo ni washamba fulani wa mpira kutokea Amerika kusini
Watu kama Pogba, lewandoski, Robben na wengi tu ambao ni wajanja wa kuzaliwa ulaya hawashobokei Barca/Real. Kwa sasa timu kubwa ni nyingi hasa hasa za EPL Big 6,,,,,,,,,,,, sasa washamba wanashobokea Barca/Real
Kwani tulienda Europa kwa sifa ipi mpaka sasa. Mkiambiwa ukweli mnasema tunawatukana kumbe ufinyu wa akili zenu wa kutokuelewa mambo ndo unawafanya msijue lolote kuhusu mpira.Sasa nyie ndugu huko Europa mkipigwa na msipoingia top four mnakuwa na utofauti gani na Everton
Sent using simu mbovu
Alifanya kosa kubwa sana kumuacha Ozil,hata baadhi ya wachambuzi wa soka wamemlaumu sana unaiUwanja mbovu, maamuz mabovu,
Unai kiburi kumuacha ozil
But game ya emirates tutwaua ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Game tumeumizwa na waamzi openly as if ni game la mchangani halafu mtu unavamia jukwaa kuleta zengwe mie nakujibu vizr tu ila wewe utatafsiri kuwa ni matusi.Hmm.. Maisha haya acha tu. Yule dully Jr kapotea, mla panya anatukana watu sa ivi. Aroon uko wapi mbona hamji kwenye majukwaa yetu kutuletea umbea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekulan6-0 tulia,Hmm.. Maisha haya acha tu. Yule dully Jr kapotea, mla panya anatukana watu sa ivi. Aroon uko wapi mbona hamji kwenye majukwaa yetu kutuletea umbea.
Sent using Jamii Forums mobile app