Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 827
- 136
Ngoja tusubilie kipindi cha pili labda............Sema MKUU nilikuwa sijakuona kabisa manake game ilikuwa nzuri sana kiasi cha kwamba nilikuwa na edit tu na kula kuendelea na game.naona wekaness zetu ziko exposed vibaya sana.
sidhani kama kipindi cha pili kitaweza kurekebisha yale makosa tuliyaona.kipa hatuna mkuu si umeona goli la kona ,anashindwa kupanga beki zake kabisa.Ngoja tusubilie kipindi cha pili labda............
3 - 23 - 1 Legia v Arsenal
tumefungwa
3 - 2
3 - 3
Nipo hapa nasikia tu Makelele kipindi cha mwanzo. Nimeamua kuitafuta mechi kwenye TV kumbe iko tv ya TVN Warszawa (TVN Warsaw). Mwanzo nilifikiri itakuwa kwenye Station yao ya HD ya N ambayo inabidi uwe na Decoder yao.
Sasa kaingia kijana kutoka Zimbabwe ambaye mwaka jana na juzi alitesa sana kwenye ligi za Poland, anaitwa Chinyama.
Huu ni uwanja ambao umejengwa na kupanuliwa. Miaka ya karibuni, kampuni ya ITI ambayo ni moja ya kampuni kubwa sana hapa Poland, walinunua hii timu. Kwa sasa wanaleta mabadiliko makubwa sana huku tukiona wachezaji walionunuliwa kwa Euro karibu milioni 1.
Ningelitamani sana kijana wetu Ngasa walau acheze kwenye timu kama hizi. Siku zinavyokwenda, itakuwa ngumu sana maana nina imani watakuwa wanazidi kupanda BEI na kudata.
na wewe wa kwetu hapa au jirani yetu?
4 - 6
Jamani Sijaelewa hapa meneja alipokuwa anamzungumzia CR
On the situation with Cesc Fabregas...
"We are not in a Cristiano Ronaldo place. We are just focussed on the new season. Fabregas is one of our best players. We want him to stay and be focussed. He will be our captain this season and I hope for many seasons to come."
Which place anaizungumzia....?
Arsenal hawana shida ya ukata. Recession imewaliza Manure, Loserfools na Chelsick si unaona mpunga kama hautoki hawashindi.
Ibrahimu Pumba naona unavuvuzela kama kawaida.....!