Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,310
Hawa jamaa huwa wanatupiga nyingi, sijui weekend hii zitakua ngapi, japo kwenye mpira kuna maajabu yanaweza kutokea ila kwa hiki kikosi chetu sioni muujiza kutokea.Weekend hii tupo hapo Ethad na Man city sijui tutakula ngapi dah,ila ndiyo hivyo tumeipenda wenyewe.
Watafurahiaje sare si ujuha tayari ishawakata hao na bundi keshaingia hapo next game na PSG wanakaa na ndo utasikia ole out.
Huyu referee huwa tunagundu nae.Game hii pia imeharibiwa na referee katoa maamzi mengi ya ovyo. Mike dean siyo kabisa huyu kenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika ya 59 wachambuzi wamemlaumu kwa maamzi mabovu dhidi ya arsenal. Katubania kinyama.