Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Nyie mnasajili banch warmers mnawaleta EPL halafu mnategemea kubeba vikombe.
kweli kabisa alafu wanafurahiaNyie mnasajili banch warmers mnawaleta EPL halafu mnategemea kubeba vikombe.
Mtaishia kuwa washiriki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi huwa najiuliza sana kumuangalia huyu dogoHivi hakuna timu inayomtaka huyu Iwobi?
Daaah kumuangalia hadi huruma kwakweli, ni mzito kufanya maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app