OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
OT kupata matokeo ni jambo la kawaida sana kwa Chelsea..Ila kumbuka kipigo utakachopata OT ndio utaamini sigara ni hatari kwa afya ya mtumiaji! Maana pale ukiingia unajua kuwa huwa kinakutokea nn...kwaheri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna EPL kwa hiyo huna cha kunizidi mimi. Ayo makombe muliobeba izo zama za ujima yanawapa kiburi wakati ni vyuma chakavu mumejaza makabatini.Sasa kipindi hicho hakuna offaide kwanini wewe ulikuwa hushindi bila ya offside?
Au ulikuwa peke yako ndiyo unatungiwa sheria hiyo ya offside lakini wengine hawana sheria ya offside?
Wewe unafungwa hadi Man united tena apo apo Emirates!! nani wa kuonewa huruma sasa??
Uyo Fatjoe atakutandika goli mbili apo OT hutaamini.Fat joe? Hadi ac milan wanaachia kwa mkopo kuna nini hapo?
Kwanza naona wanawafanyizia kama mlivyowafanyizia kwa bakayoko
OK,niambie mwaka gani katika hii ya kalibuni umepata matokeo OT ,,,maana usiwe unaongea kama upo kijiwe cha kahawa!...kwenye jukwaa lenu kule nilipost kuwa Chelsea munawakati ngumu maana mechi za top six zote munacheza away mzunguko huu
Una kiungo gani cha kumuweka nje Jorgihno apo Liverpool?Kwani yule ni Higuan au Punguani?
Hata kwa Joginyoko mulianza hivihivi kuwa Mbele ya Joginyoko hakuna timu itakayobaki salama
Lakini mulipocheza na Spurs alichofanywa na yule Mvimba macho wa Kikorea aka Sonaldo (Son) hamutokisahau 😀😀
Huyo Kitambi Manager wenu hata msimu mmoja hamalizi mutamtoa kwa mkopo na kumuona Giroud ni Messi mbele Yake.. 😀😀
Suala la Icard haliitaji haraka. Higuain kaja Ku backup front yetu.Kwahiyo kule Italy Juventus,Napoli,Roma,Milan zote zimesharest in piece?baada ya kuchukua icardi mnachukua mizigo ambayo imekosa namba kwa Mario mandzukic pale juve mpaka wakaliloan kule Milan na bado halina maajabu hahahahahahahahahaha
Sasa hivi mtaanza kuimba #BRING_BACK_OUR_GIROUD
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sitaki kubisha na kwa maneno lete facts otherwise nitaacha ku-argue na wewe maana nisije kubiahana na MTU asiyeelewa mshabiki tu bila kuwa na hoja....nitakuwa namaliza energy ya bule!
Wewe ni wale mashabiki ambao Giggs tu anawazidi makombe timu nzima... arsenal bana.!Huna EPL kwa hiyo huna cha kunizidi mimi. Ayo makombe muliobeba izo zama za ujima yanawapa kiburi wakati ni vyuma chakavu mumejaza makabatini.
Makombe pekee ambayo munaweza kujisifu nayo ni Uefa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jorginho hapati namba liverpool bhana japo mimi sio fan wa liver, acha ushabiki oya oya...sema Kante sio huyo mpwa wa Sari.Una kiungo gani cha kumuweka nje Jorgihno apo Liverpool?
Higuain anakuja apo Anfield ..nadhani Allison anamjua vilivyo uyo mnyama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna EPL kwa hiyo huna cha kunizidi mimi. Ayo makombe muliobeba izo zama za ujima yanawapa kiburi wakati ni vyuma chakavu mumejaza makabatini.
Makombe pekee ambayo munaweza kujisifu nayo ni Uefa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya mizigo iliyopo Arsenal.Mustafi EffectView attachment 1006107
Team yetu maneno mengi sana kuliko utendaji.Ivan #Perisic’s agent has asked #Inter to be sold to #Arsenal. He wants to leave to Premier League, but in this moment there isn’t an agreement between #Gunners and Marotta on bid (#Emery has offered a loan with option to buy, Inter wants €35M). Contacts ongoing. #transfers #AFC
Sent using Jamii Forums mobile app
yani wewe jamaa unatia huruma kweli katimu kako kakifungwa unakua mdogo kama piriton.
Kwa kifupi aseno hamna timu imeshaoza tayari.
Asenyeto ni genge la wahuni sasa hivi. Tehetehe teheeehetehee. Agriiiiiiiii
Kati ya vitu nashukuru kwa Mwenyezi Mungu ni Kutonifanya kuwa mshabiki wa arsenal
Timu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.
Any way juzi tumefungwa na MAN UTD kwenye mechi muhimu FA CUP Tena tukiwa Nyumbani.
SHIDA YETU SIO MWALIMU WALA NANI. WACHEZAJI KWA 98% WANAENDA KUFANYA KILE WALICHOAGIZWA KUFANYA.
SOKRATIS anaumia anaingia MUSTAFI kitu ambacho mwalimu hakutaka kiwe. Hivyo hivyo Kwa KOSCIENLY anaumizwa vibaya inabidi kocha afanye substitution ambazo hakutaka afanye.
ANAMUINGIZA GUENDOUZ SABABU TULIKUWA NYUMA NA KIMPIRA TULIWAZIDI. NA TULIHITAJI KUSAWAZISHA
Kama ni ISSUE ya AUBAMEYANG NA LACCAZETTE kama nyie mlivyokuwa mkitaka waanze kwa pamoja cku hizi wanaanza na bado tunafungwa.
Kama ni issue ya MESUT OZIL kucheza hiyo cku alicheza Na tulifungwa. Kama ni issue ya ARON RAMSEY nae halikadharika.
WENGI WETU TULIKUWA TUKIONGEA MANENO MABAYA KUHUSU GUENDOUZ NA IMEKUWA KAWAIDA YETU. LAKINI JUZI ALIINGIA TUSHAFUNGWA.
Now tumebaki kumshauri EMERY afanye hiki hichi hasifanye. Kwanini tusipewe timu sisi kama ni kazi rahisi.
Timu yangu ilicheza vizuri sana lakini tulikosa mipango. Mashot tulipiga na mpira tulimiliki bahati ilikuwa kwao .
SASA WEWE UNAMLAUMU EMERY KWA KIPI ULITAKA AKAFUNGE YEYE.
TUMLAUMU KOCHA KWENYE USAJIRI TU LAKINI SIO KWA MATOKEO ANAYOPATA UWANJANI. KWANI YEYE ANAPANGA KIKOSI KIENDE KIKASHINDE NA SIO KIKAFUNGWE
TIMU YETU INAHITAJI USAJIRI MZITO HII.
Sent using Jamii Forums mobile app