Arsenal kinachotufungisha vs Manchester United ni psychology zaidi kuliko mpira wenyewe. Tunakuwa tumefungwa kabla hatujakanyaga uwanja. Hatutashinda mechi vs Man Utd hadi tutakapo overcome hii hurdle. Inaelekea wachezaji wanakamia au kugwaya pindi wachezapo na hii timu.
Baba torreira upo?Juz hapo hapo OT umetokea tundu la sindano
Linapokuja swala la FA hata hapo OT nakunyoosha, hata fainal utachezea tu,
Siunakumbuka welbek anawaua hapo hapo OT , robo fainal FA
Msipige kelele man u, timu yenu inashinda lkn bado defencive mnaruhusu kushambuliwa,
Shauri yenu, ijumaa utaniambia
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaHii Arsenal ni mbovu sana, vilaza na mizigo ni wengi wasio na faida. Tujiandae kisaiklojia top 4 hatupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa watu wanajitoaga ufahamu tu wanajua kabisa Arsenal haina tofauti na Kikundi cha TaarabuBaba torreira upo?
Hahaha wakishinda ka mechi ka moja wanambwembwe hawaMkuu hawa watu wanajitoaga ufahamu tu wanajua kabisa Arsenal haina tofauti na Kikundi cha Taarabu
Thread inahusu #UnaiOutTulia wewe dawa ipenye. Unai haendi popote na Arsenal lazima tukirejea kwenye league uwe mtena watu wachukue points zao zakutosha