Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila mtu ana uzur na udhaifu wake, sven ni mgomvi sana,

Kila timu huwa hapatan na makocha ,

Monch yeye soko lake ni america sana,

Hivo akija tarajia kuziona sura za wabrazil ,sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai hilo Kila mtu na madhaifu yake hiyo ila nadhani ugomvi huo ni sababu ya kusimamia kile anachokiamin hata Mimi Nina upungufu huo. Ila kwa takwimu sven Ni bora kuliko mjomba monchi, ila tuache muda uzungumze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu tuombe awe na wakati mzuri akiwa nasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Mashetani wapigwe tu maana hamna namna ila wasiwasi wangu ni huyo dogo wenu wa RB halafu kibaya zaidi huo ni upande mbaya sana akiwekwa mtu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…