Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kwamba hiyo Nafasi anayocheza Saka ndo Ina mapungufu? Unapowaamin Akina Gunduz na kutokuamini Ozil na Ramsay uoni kua una matatizo..Ifike muda sasa Unai ajilipue kama ilivyo kuwa kwa Van gal.
Nakumbuka Van gal alipo ona wakina RVP na Roney hawana msaada akaamua kuwaibua wakina Rashford.
Kama ameweza kumsajiri na kumuamini Guadouz kwanini asifos kuwaamini wakina Saka!!?
Nakumbuka mwaka ambao Sagna ameondoka na Debuch akapata injury huku Jenko nae akiwa wodini bado ndo hapo Wenger alipo muibua Belle
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa arsenal yetu sven alikuwa anahitajika zaidi nadhani kwa takwimu ni bora kuliko monchi.. kwangu ni Dani alves, rakitic, ever banega, kanoute labda na nzonzi ndio bora kwangu na si mvumbuzi kivile sababu wengi tayar walikuwa wameshakuwa maarufu kabla hajawabeba*Ramon Rodriguez Verdejo, akiwa na A.k.A yake kama Monchi* [emoji115][emoji115][emoji115] ....huyu ni nani??????
Huyu ni mchezaji wa zaman wa sevilla ambaye ameataafu mwaka 1999 akiwa sevilla na kupewa kazi kama staff member mnamo mwaka 2000......
Mnamo mwaka 2001 alipandishwa cheo na kuwa moja ya wakurugenzi wa mpira ndani ya sevilla ambapo amehudumu apo Hispania kwa miaka 17 yaani kutoka 2000 -2017 .
Akiwa ndani ya sevilla akihudumu kama sports director *monchi* ameweza kusimamia au kusaidia kufanyika kwa usajili wa wachezaji nguli ulimwenguni na wale wa kawaida ila hapa acha nikuwekee wachezaji wachache kama tu ukihitaji zaidi ntakuongezea .....[emoji116][emoji116]
*1*: *Dan alves*...huyu n mbrazil namba mbili bora aliyekuja ulaya kupitia mikono ya monchi na kutua sevilla.
*2:Julio bapista*
*3:Luis Fabiano*
*4:Federico Fazio*
*5:Alvaro negledo*
*6:Garry medel*
*7:Ever banega*
*8:kondogbia*
*9:Ivan ractic*
*10:Kelvin germeiro*
*11:Carlos barca*
*12:Jesus navas*
*13:Olsen*
*14:coric*
*15:julien escude*
*16: nzonzi*
*17:kanoute*
Kwa haraka wanakuja hawa hapa [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mnamo mwaka 2017 Manchester united ,Roma na Barcelona walitangaza nia ya kumtaka huyu MTU ila Roma wakachanga karata zao na kumchukua ....na adi Leo naandika hapa ni mkurugenzi pale Rome .
*monchi akiwa Roma* ameweza kufanikisha usajili wa watu kama 12 ila wengi hawafahamiki maana hawana namba ya kucheza pale labda tunaweza kusema ni future use people ila usajili wake mkubwa Roma naweza sema kuwa ni kumsajili *Justin kluivert* ambaye kaingia moja kwa moja kwenye kikosi na golikipa mswedeni ambaye aliingia moja kwa moja ndani ya kikosi.
Akiwa Roma monchi wameondoka watu kama Allison, salah ,Naigolan,strootman kwa uchache .....ila wapo wengi ambao sjawataja hapa maana najaribu kuonyesha keys na utendaji kazi wa huyu MTU.
Amefeli wapi??
Failure zake n nyingi sana kama mwanadamu ila failure inayoendelea kushika vichwa adi Leo ni kushindwa usajili wa *Malcolm* kutoka bourdex ambao ilikuwa ukamilike ndani ya lisaa limoja na ukavunjwa mchezaji akaenda Barcelona......... .
*mafanikio*
Kama ilivyokuwa kwa mascout na madirector wengi mafanikio yao huwa sio makombe ila huwa tunawapima kutokana na uwezo wa kusajili, kuibua na kuuza na pesa inayotumika ......kwa hapa hesabu zinamlinda monchi maana amekuwa akisajili kwa pesa ndogo na kuuza kwa faida kitu ambacho ndo kinatakiwa ndani ya arsenal.
Swali ni je ataweza kukaa miaka mingi arsenal kama alivyokaa sevilla????
Aaron ZE GANAZ
Wa kawaida tu hana ubora wa kutisha, labda aje kuamkia arsenal..Kwani huyo mchezaji sio mzuri?
Ozil unamwamin vip acheze winger? Ramsey ishajulikana anaondoka ,ni vema tukajiandaa maisha bila ramseyKwamba hiyo Nafasi anayocheza Saka ndo Ina mapungufu? Unapowaamin Akina Gunduz na kutokuamini Ozil na Ramsay uoni kua una matatizo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana uzur na udhaifu wake, sven ni mgomvi sana,Kwa arsenal yetu sven alikuwa anahitajika zaidi nadhani kwa takwimu ni bora kuliko monchi.. kwangu ni Dani alves, rakitic, ever banega, kanoute labda na nzonzi ndio bora kwangu na si mvumbuzi kivile sababu wengi tayar walikuwa wameshakuwa maarufu kabla hajawabeba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya welbekChristopher Nkunku anakuja kucheza namba ya nani Arsenal
Ngoja tuone