The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Nawatakia ushindi. Mkikosa basi mjitahid roo. Harufu za sigara zisiwafunge machoMkuu uwezi amin ata ushind sitegemei kuupata ww pambana tu mkuu mtakutan tu wenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi sikuwabetia mkuu..Kuna mechi nataka mshinde sasa naona kama hampo serius hiv. Ya chelsea ni muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilinganishe club na national team bro huku kuna mikataba inayolinda pande zote...sasa wewe piga ramli zako ukimaliza utaona mesut katika Uzi wa gunnersOzil mturuki yule mwenye misimamo tayari kashaipiga chini Arsenal kama alivyowafanyia ujerumani.
Mwenzako tayar PSG, JUVE na AJAX wanamtaka
So what? That never change our loyalty to this club man.Next week mtakuwa NAFASI YA 6 mtake msitake
So what????So what? That never change our loyalty to this club man.
Aha wait and see...mim lazima nacheza uefa next seasonSo what????
WELL COME BACK THE REAL ARSENAL
Mkuu hawa toinyo tunawapiga darajani. Sisi ni wazee wa kimoja au viwili. Japo najua hatutapata clean sheet. Kwa hiyo uwezekano wa matokeo ni 1-0, 2-1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kufukuzwa, klopp amekaa muda gani? Je kwa muda aliokaa hapo kuna hata kikombe cha kunywea kahawa wamepata?
Maisha yanaenda kasi sana.Duuu mbona mapema. Juzi tu mmeshida game mfululizo mmemsifu Emery kuwa kocha Bora na kuenda mbali kwa kujitangaza na ubigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kufukuzwa kwa Unai unamwingiza Klopp. Kwahyo sbb Klopp hajafukuzwa basi na Unai hawezi fukuzwa?Hawezi kufukuzwa, klopp amekaa muda gani? Je kwa muda aliokaa hapo kuna hata kikombe cha kunywea kahawa wamepata?
Wenzako wanaiga mazuri wewe unaiga mabaya ππππHawezi kufukuzwa, klopp amekaa muda gani? Je kwa muda aliokaa hapo kuna hata kikombe cha kunywea kahawa wamepata?
πππππππππSasa kufukuzwa kwa Unai unamwingiza Klopp. Kwahyo sbb Klopp hajafukuzwa basi na Unai hawezi fukuzwa?
Sent using Jamii Forums mobile app