Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hili halina ubishi, jamaa yupo njema sana, ilibid aondoke maana alishakaa arsenal misimu miwil kitandan, tusingeweza kuendelea kumlipa huku hatuna uhakika kama atarud fiti,Wadau nimetoka kucheki mechi ya Vilareal vs Real Madrid. Imeisha kwa draw ya 2-2, bai zote za vilareal akifunga Carzola. Huyu jamaa nilijua majeraha ya mwaka mzima pale arsenal yamemmaliza lakini jamaa yuko njema kabisa. Kama asingeindoka huyu pengine tusingekuwa nafasi tuliyopo. Kimsingi tumepoteza bonge la midfielder na itatuchukua miaka mingi kupata mbadala wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, ila kiukweli sitamsahau kabisa Carzola msimu wake wa mwisho Arsenal. Tulikuwa kwenye form balaa, ika alipopata injury tu, tukaanza kushuka na toka hapo tumeshindwa kurudi top four..Hili halina ubishi, jamaa yupo njema sana, ilibid aondoke maana alishakaa arsenal misimu miwil kitandan, tusingeweza kuendelea kumlipa huku hatuna uhakika kama atarud fiti,
Sent using Jamii Forums mobile app
Santiago namkubali sanaHili halina ubishi, jamaa yupo njema sana, ilibid aondoke maana alishakaa arsenal misimu miwil kitandan, tusingeweza kuendelea kumlipa huku hatuna uhakika kama atarud fiti,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni €6m per year for 5yrsKuna tetesi kuwa Ramsey kafanya pre-contract na juventus itakayomwingizia €6m kwa miaka 5 na ataondoka January hii.....
Na nimeona barzaghi ametweet kumkaribisha jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah kweli haya marefa ni ya hovyohovyo sanaVideo hiyo hapo. Utaona kabisa manyumbu yaliamua yasicheze mpira bali yawe yanatupiga mateke tu. Referee angekuwa fair walikuwa wale kadi tatu nyekundu mapema. Na pengine unbeaten yetu ingeenda hadi mechi sabin huko. Hapo ndipo chuki za marefa dhidi ya arsenal zilipoanza,had sasa kina mike dean, michael oliver wanafata tu njia hiyo hiyo View attachment 985822
Sent using Jamii Forums mobile app
SadAron ramsey leo amethibitisha kusain dili na juventus kwa kipindi cha miaka mitano
Ramsey:Nimekuwa hapa kwa kipindi cha miaka 10 nazani hakuna mchezaji ambae amedumu kwa muda kama niliokaa mimi ndani ya arsenal ambae yupo hadi sasa..napenda kila kitu ndani hii klabu nimeanza kucheza timu ya vijana pamoja na kina theo (walcott) oxlade chamberlain hadi kuitwa timu ya wakubwa 2008 nikiwa na miaka 17 hivi sasa nina miaka 27 napenda kuwashukuru mashabiki pamoja na viongozi wa arsenal kwa sapoti yao kwangu
Arsene wenger kwangu ndie mtu nitakae mkumbuka katika maisha yangu yote alinitoa kule kwetu wales had england nikiwa nina miaka 14..Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu sana katika furaha na karaha nakumbuka mwaka jana kabla hajaondoka aliniambia nibakie arsenal ili nami niwe legend km denis bergkamp henry na rosicky lakini nasikitika hilo haliwezi kufanikiwa
Nazan kocha wa sasa hv ana falsafa zake ambazo hazinihitaj mimi na baadhi ya wachezaji
Ila mimi nitakuwa balozi wa arsenal na nafikiri ipo siku nitarud tena hapa kwa mara nyingine tena
AHSANTENIView attachment 986235
Sent using Jamii Forums mobile app