MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Hayo ni maoni yako ya kihisia tu.Timu ina majeruhi wengi beki that's why tunafunga lakini magoli yanarudi kwa kuwa ukuta ni mbovu. Tungekuwa na ukuta imara liverpool walikuwa wanafungika vizr tu. Ni matokeo tuHilo halitokaa litokeee kwa sababu malengo ya wenye share zao ni faida na si makombe. Kwa sasa timu inaendeshwa kwa gharama ndogo ukileta wachezaji wenye viwango utalazimika kuwalipa mshahara mkubwa kitu ambacho wenye timu hawapendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi shabiki wa arsenal nimeama kabisa.we ukitaka kujua wanaongea sana subiria siku wakimfunga burnley...m watachonga utasema wanacheza uefa
Wew usijifalij hivo, wakati kolasinac mzur chagu la kwanza,Hayo ni maoni yako ya kihisia tu.Timu ina majeruhi wengi beki that's why tunafunga lakini magoli yanarudi kwa kuwa ukuta ni mbovu. Tungekuwa na ukuta imara liverpool walikuwa wanafungika vizr tu. Ni matokeo tu
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameenda mfululizo game 22 hajapoteza hamkusema yupo sawa na wenger ila alipoanza kupata matokeo mabaya baada ya majeruhi kuwa wengi kawa mbaya. Acheni ulimbukeni kama hamuujui mpira kaeni kimya siyo kuweka dharau. Huyu ni kocha Bora arsenal.Huyu kocha ni sawa na Wenger hakuna tofauti katika upangaji wa timu.
Koscielny hawezi kucheza dk 90 kaka nje muda mrefu. Monreal , bellerin na mustafi hukaa pamija wawili hao majeruhi hata mustafi kacheza lakn ni majeruhi sasa ss tunakuelekeza wewe unajifanya unaielewa timu kuliko sisi.Wew usijifalij hivo, wakati kolasinac mzur chagu la kwanza,
Mustafi- mzur kwa arsenal kampiga benchi koscinl
Hao mabeki walio baki wawili wote kasajil yeye mwenyewe kwa akilizake mbovu
Unataka nn tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa na lugha yenye heshima kwa mashabiki wenzako hata kama wamepoteza game, kumfananisha binadamu mwenzako na mbwa ni kitendo cha udhalilishaji.nyie mbwa mpo tatizo mnaongea san afu mpira hamjui
Mkuu mimi nishabik wa arsenal ujue.Koscielny hawezi kucheza dk 90 kaka nje muda mrefu. Monreal , bellerin na mustafi hukaa pamija wawili hao majeruhi hata mustafi kacheza lakn ni majeruhi sasa ss tunakuelekeza wewe unajifanya unaielewa timu kuliko sisi.
Beki tumepanga kujaza nafasi tu siyo partner.
Sent using Jamii Forums mobile app