Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Labda Emery atabadili timu.

Lacazette na Guendouzi wataingia.

Ramsey na Iwobi nje.
 
Leo tumekuwa kama gagulo,linabana juu chini linaachia, yaani sioni tulichozidiwa, ila beki ipo hovyo. Xhaka hapa kisha panic mda si mrefu anakula nyekundu.
 
Kuna jamaa anajiita DullyJr nadhani atakuwa ICU saa hizi
 
Leo tumekuwa kama gagulo,linabana juu chini linaachia, yaani sioni tulichozidiwa, ila beki ipo hovyo. Xhaka hapa kisha panic mda si mrefu anakula nyekundu.
Beki niya hovyo mno,inafungwa magori ya kijinga sana,tena tangu msimu uanze,kocha anaangalia

Kipa na mabeki hawana mawasiliano kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…