Dah, wenzake kama kina fergie huwa wanamisiwa. Wenger mafans wameshamsahau. Kweli mtu unatakiwa uondoke ukiwa juu.Wenger kaahid kuja kucheki game emirates
Arsène Wenger Interview with beIN from last night:•Yet to attend Arsenal games to give Unai the time and space he deserves.
•Praised Emery’s work and said signings will add defensive stability.
•He will be at the Emirates to watch the club soon.
Wote walikuepo kwa SOTONNikionaga Auba yupo uwanjani nikiona ozil yupo nikiona laca yupo sead cola man toreila af Nina boom xhaka wengine wajaze kikosi to Najua opponent lazima akalie naomba sababu tunakua strong offensive hahaha boldness ya defense inaanzia kwa bwamdogo xhaka na Torreira yani unaangalia mechi sio na pop corn yani KITYCOON.
unatazama mpila Kama Monopoly flani hivi
Kweli ukiona watu hao wapo, tarajia magoli ya kutosha ,maana kunakuwa na ufundi mwingi, chance nyingi za kufunga zinatengenezwa, tackling za kutoshaNikionaga Auba yupo uwanjani nikiona ozil yupo nikiona laca yupo sead cola man toreila af Nina boom xhaka wengine wajaze kikosi to Najua opponent lazima akalie naomba sababu tunakua strong offensive hahaha boldness ya defense inaanzia kwa bwamdogo xhaka na Torreira yani unaangalia mechi sio na pop corn yani KITYCOON.
unatazama mpila Kama Monopoly flani hivi
Hawakuwepo hao, usipende kuropoka ovyo ovyoWote walikuepo kwa SOTON
Kolasinac hails 'that' Ozil pass to him:
"It was unbelievable. We all know Mesut’s qualities and I only actually made that run because I saw that he had the ball."
“Not many players would have been able to play that pass. He can. I knew he was going to find me."View attachment 976695
'Game'Wote walikuepo kwa SOTON
Af Kuna mwehu anasema ozil aondoke daahKolasinac hails 'that' Ozil pass to him:
"It was unbelievable. We all know Mesut’s qualities and I only actually made that run because I saw that he had the ball."
“Not many players would have been able to play that pass. He can. I knew he was going to find me."View attachment 976695
Utajaza mwenyewe, wawepo wasipowepo SOTON alikukazaHawakuwepo hao, usipende kuropoka ovyo ovyo
Ww EPL utabeba liniGenge la wazee wa kujinyonga
Mnahangaika sanaa
UEFA mpk dunia inaisha hamtokuja kubeba
Mpo na brighton
Draw,lose win hainiafffect liverpool
Ila mkigongwa itapendeza tupunguze midomo
Natania tu
Bas unahis ushabeba EPL,Utajaza mwenyewe, wawepo wasipowepo SOTON alikukaza
Huna kiungo cha kucheza na arsenal,Tar 29 tuwekeeni Ozil tuwapoteze poteze.
Huna kiungo cha kucheza na arsenal,
Tarehe 29 ukiona Xhaka,toreira wapo, jua mtapata tabu sana
Hapo anfiled nishawahi kukuweka 6Utawataja wote, bado siku 4 tu tukukumbushe kwamba Anfield ni machinjioni.
Tunajua kuwa una kiungo cha kucheza na SOTONHuna kiungo cha kucheza na arsenal,
Tarehe 29 ukiona Xhaka,toreira wapo, jua mtapata tabu sana
Ww una kiungo cha kucheza na zuwena zubeda ...Tunajua kuwa una kiungo cha kucheza na SOTON
Hapo anfiled nishawahi kukuweka 6
Mwaka 2007
Subir hiyo tar 29 mtajipiga ban