Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yaan kumbe tuna kina Dembele wengi tu hapo acardemy,
Emery sasa ampe nafasi huyu dogo ,Bakayo saka, kwa uwezo aliouonesha leo
Hapa kwa Unai tumelamba Joker#AFC win 1-0 and - with minutes left elsewhere - their round of 32 opponent will come from the following list:
Club Brugge, Galatasaray, Shakthar Donetsk, Viktoria Plzen, Fenerbache, Lazio, Zurich, Celtic, Slavia Prague, Olympiakos, Rapid Vienna, Malmo, Krasnodar, Rennes, BATE.
Today's result means @UnaiEmery_ has now equelled George Graham's debut season with the run of 22 unbeaten games
So far this season the manager has used 11 players who have graduated from our academy system.
Dogo alikosa goli tu angepata 9/10, kiujumla ameonyesha alichonachoBukayo Saka: Man of the Match vs Qarabag Arsenal
Shots - 4
Shots on Target - 3
Dribbles - 8
Times Fouled - 5
Rating - 8.19
It was the 17-year-old's full Arsenal debutView attachment 967637
Mara tatu na sevillaUnai alishawah kuchukua Europa?
Mara tatu so Kuna matumaini sioMara tatu na sevilla
Ukisema mara tatu unakosea sema mara tatu mfululizo kbsa...Mara tatu na sevilla
Ule mpira asingeutuliza akaupiga upande mwngine wa kipa kilikua bonge ya goli,,hata Nketia nae amecheza vzr sanaDogo alikosa goli tu angepata 9/10, kiujumla ameonyesha alichonacho
Angechop tu kiulaiiiiiiiiniUle mpira asingeutuliza akaupiga upande mwngine wa kipa kilikua bonge ya goli,,hata Nketia nae amecheza vzr sana
Dogo anapoteza sana mipira sababu ya kutaka kudribble,lakini ni mzuri akishajua wapi anaweza fanya succesful dribble na wapi haiwezekani ili aachie mipira haraka.Angechop tu kiulaiiiiiiiini
Na huyu ndio kocha mwenye vikombe vingi ulaya nzima kwa sasa...nashangaa watu hawaoni ni kiasi gani tuna mtu hatari mwenye CV ya kutisha.Ukisema mara tatu unakosea sema mara tatu mfululizo kbsa...
Yeah dribble zimekua nyingi ila naamini atabadilika tu, na akpmae hakika atapata namba kwani so far hatuna winger wa aina yakeDogo anapoteza sana mipira sababu ya kutaka kudribble,lakini ni mzuri akishajua wapi anaweza fanya succesful dribble na wapi haiwezekani ili aachie mipira haraka.
Ana future nzuri akitunzwa,na kwa unai naona kabisa atatoboa.
Bila shaka wewe ni Mtanzania.Hana lolote na likiduku lake kakosa yeye na kipa tu! Hajui soka mbwembwe mbio nyingi kama Saidi maulidi. SMG.