Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
ExactlyEmery on Torreira: "He said to us that he was a little tired... He was giving us good balance but also we have to be clever because he played with the national team for two matches and sometimes you need to listen to the players when they sometimes need rest." #AFC #Arsenal
Kuna muda alivyoingia Guendouz nilikua nasikia sauti ya Unai tu "Matheo Matheo Matheo" yani anamkumbusha coveringView attachment 946112
Ni derby ,hivo lazima waje kwa tahadhar, ila wanakufa sina hofu
Kazi ya Bournemouth imeisha, wale spurs wanakuja home hawawezi kutoka game itakuwa tough lakini tunashinda. Ukiwaogopa man unakuwa kichaa lilishabaki bango tu la mbwa mkali mbwa kafa zamani wamesahau kutoa bango. Man ilikuwa timu nzuri wakati ule siyo sasa.
Imagine shuti zile za xchaka na gonga za Emirates pale ni nani atatoka na miguu yote uwanjani kwa man. Lacazette hajacheza leo tunataka aje awaue toten.Man atawamaliza iwobi tu.
Timu za kujiandaa ni man city tu nao tukikutana huwa wanabebwa na refa kutafutiza penati waoga sana kwa arsenal. Uwezo tunao, nia tunayo, wachezaji bora tunao, kocha bora tunaye sasa wanaponaje man na toten.
Kupona toten ujue kapata sare jambo ambalo halikubaliki maana kocha amegoma.
Kuna muda alivyoingia Guendouz nilikua nasikia sauti ya Unai tu "Matheo Matheo Matheo" yani anamkumbusha coveringView attachment 946112
Likely Draw, mechi ni ngumu usidhani Tottenham wana beki mbovu kama ya Chelsea mliyotoka 3-2. Kati kati yupo Dier na Sissoko versus yenu ya Xhaka na Toreira. Kwa counter Tottenham hafungiki kirahisi na ndio magoli yenu sasa hivi. City walishinda 1-0 kwa shida mno licha ya kutengeneza nafasi nyingi na ubora wa Winga zake
Mechi ngumu kwa Tottenham Mkuu.Sisi hatujui kufungwa kunafafanaje mechi 17 zilizopita.
Kiufupi Ushindi wa Tottenham Draw.Matokeo yatakua mawili tu Afungwe Au atafute sare.
SanaUyu dogo yupo fitView attachment 946423
Usikariri hivo, watapoteana tu, kila mech na approach yakeLikely Draw, mechi ni ngumu usidhani Tottenham wana beki mbovu kama ya Chelsea mliyotoka 3-2. Kati kati yupo Dier na Sissoko versus yenu ya Xhaka na Toreira. Kwa counter Tottenham hafungiki kirahisi na ndio magoli yenu sasa hivi. City walishinda 1-0 kwa shida mno licha ya kutengeneza nafasi nyingi na ubora wa Winga zake
Usikariri hivo, watapoteana tu, kila mech na approach yake
Kama ya bmouth kocha alicheza na bek 5 , na viungo wa 4