The same to me Mkuu Nilijua Leo yaleyale mpaka half time 3...Ila Leo tumeifanya Liver ionekane ni Timu ya kawaida.Unai kuna kitu ameleta kwenye timu..
Vijana bado wana tatizo la kutumia nafasi..Ila Liver Yule VVD ni mzuri sana ameimarisha sana defence...Angekua Lovren tungepiga 3.
Kwa kweli Mkuu! Now timu inaeleweka, inaupiga mwingi sana! Yaani timu yoyote tunaweza kucheza nayo kwa ujasiri kabisa.Mpira wa arsenal kwa kiwango hiki kilichooneshwa now imekua timu sasa ,,,waweza ituma popote
Kwa kweli Mkuu! Now timu inaeleweka, inaupiga mwingi sana! Yaani timu yoyote tunaweza kucheza nayo kwa ujasiri kabisa.
Ball possession 10 - times,
Ball possession 10 - times,
Winning posssion - 80%
Pass completion rate - 89.1%
Hilo swala UNAI na kina sven wanalifanyia kazi,Arsenal watafute Lucas Torreira mwingine haraka iwezekanavyo ili wawe wawili.
KwaniniArsenal watafute Lucas Torreira mwingine haraka iwezekanavyo ili wawe wawili.
Ndio maana naona Hawa akina Ramsey waondoke tu wapishe watu wa kazi pale kati...Unai still anahitaji wachezaji wa kuimplement mfumo wake...Hilo swala UNAI na kina sven wanalifanyia kazi,
January kuna watu kama wawili wataingia,
Kwanini
Tangu nimeufahamu mpila uwa najua jambo moja tu what counts alot ni 3 fuckin points thats it uende mbele urudi nyuma but thats it. Sababu in the end ukidrop points means unasuffer consiquences sasa sijui unajaribu kujenga hoja ipi? Ambayo italeta tija hapaIngelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.
Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.
So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
Tangu nimeufahamu mpila uwa najua jambo moja tu what counts alot ni 3 fuckin points thats it uende mbele urudi nyuma but thats it. Sababu in the end ukidrop points means unasuffer consiquences sasa sijui unajaribu kujenga hoja ipi? Ambayo italeta tija hapa