Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 567
He's a striker, just a natural striker. Yeye kuwekwa pembeni ni kwa ajili ya kuwa-accomodate na Lacca, lakini ni striker mzuri tu.Hivi Kuna anayeweza Kunipa Concrete reason Kwanini Kocha wenu Katika FXI Kamueka Juu Aubamyang ?
Aisee sipati picha mashetani wakikatiza kwetu na man city tukirudiana nao. Chelsea wao nawaambia ALKWISWASWA HAQUE kulipa kisasi ni sawa siyo dhambi.Hongereni sana Arsenal,hivi ndio inatakiwa sio kocha mpya anakuja kwenye timu anaanza kuleta habari za nipeni muda natengeneza timu,timu ni matokeo uwanjani kama hivi,habari za kutengeneza nenda katengeneze magari
Hongereni mkuu kwa ushindi mnono.Naona majirani siku hizi hawatutembelei kwenye thread yetu.
Khe khe khe khe khe khe khe khe kheHongereni sana Arsenal,hivi ndio inatakiwa sio kocha mpya anakuja kwenye timu anaanza kuleta habari za nipeni muda natengeneza timu,timu ni matokeo uwanjani kama hivi,habari za kutengeneza nenda katengeneze magari
Sawa tusubiri hicho kisasi. Next game una Liverpool Kama sijakoseaAisee sipati picha mashetani wakikatiza kwetu na man city tukirudiana nao. Chelsea wao nawaambia ALKWISWASWA HAQUE kulipa kisasi ni sawa siyo dhambi.
Hatutaki dharau.

Leicester at Emirates una la kusema?Sawa tusubiri hicho kisasi. Next game una Liverpool Kama sijakosea
Ohooo sikulijua Hilo mkuuLeicester at Emirates una la kusema?
Next nakutana na Leicester ambao waliwanyuka vigogo wote wakagonga mwamba kwa arsenal walipotwaa ubingwa. Nawakamua vizuri tu.Sawa tusubiri hicho kisasi. Next game una Liverpool Kama sijakosea
Game na liver n jmoc ya terehe 3 NovemberNext nakutana na Leicester ambao waliwanyuka vigogo wote wakagonga mwamba kwa arsenal walipotwaa ubingwa. Nawakamua vizuri tu.
Liverpool hadi desemba ndo nawalipua na magobore yangu.
Nina kikosi kipana simwogopi mtu kila mchezaji arsenal sasa hv ana goli hadi mabeki sasa wataponea wapi.
Viungo bora wapo pale. Naomba NUMBISA awaletee clip za magoli ya leo nahisi mtahama timu zenu leo.
Next nakutana na Leicester ambao waliwanyuka vigogo wote wakagonga mwamba kwa arsenal walipotwaa ubingwa. Nawakamua vizuri tu.
Liverpool hadi desemba ndo nawalipua na magobore yangu.
Nina kikosi kipana simwogopi mtu kila mchezaji arsenal sasa hv ana goli hadi mabeki sasa wataponea wapi.
Viungo bora wapo pale. Naomba NUMBISA awaletee clip za magoli ya leo nahisi mtahama timu zenu leo.
Basi niwatakie safari njema kwenye hizo game japo sio kazi ndogoTarget ni kushinda game 30 toka time zote zilizo nnje ya top 5 na bahati Mbaya fulham wako kwenye hiyo bracket wataponaje sasa.
Pia tutapiga mkubwa mmoja season hii. Na sare kadhaa za hao wakubwa kisha mengine tutaongea mwisho wa msimu.
90 point kutoka kwa hao 15 na chavhe kutoka kwa wakubwa.
Epl inaweza angukia home kama utani