McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Xhaka na Mkhitaryan waliflop sana mechi iliyopita. Nilidhani Toreira na Lacca wangeanza mechi hii. Ngoja tuone
Leo tuko pamoja wakuu..Ombeni sana Mungu msifungwe zaid ya goli mbili ...maana hamna pa kutokea
Crystal palce ipi? Sio kweli labda reserves ya crystal.Yani kumbe siku ile tumetoka kufungwa na man city kocha Emery kwa hasira kaongea nao wachezaji kawambia mmecheza tofauti na nilivotaka na kesho yake J3 kaomba gemu na crystal palace ambayo ilichezwa pasipo kutolewa taarifa yeyote...duuuh kumbe ndo mana J4 hawakwenda mazoezini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh