eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kila mwaka mnajenga team mkuuArsenal tunajenga timu sasa hivi. Top 4 ndio target yetu. Tukishinda kikombe chochote ni bonus.
Epl ni kati ya mancity, liver ma manutd ingawa manutd watu wanaibeza. Watakimbiza mwizi kimya kimya bila pressure.
Golini yupo OCTUPUS sijui upige wapi ufunge
Upande huu ni mnyama Keita na Mane na kule ni Fabihno na Salah
Katikati anazunguka Captain Hendo
Nipeni tu EPL yangu mapema!
we labda uliibe tu zaidi ya hapo ni kulishangaa wenzio wansvyolibeba tu
Hivi kweli kizazi cha Gerald kimeshindwa kutwaa EPL halafu cha salah ndio kitwae
Endelea kujitetea tuKizazi Cha Gerrard Kwenye Timu Alikuwa na Striker Owen, Halafu akaja Torres, Halafu Akaja Balloteli, Halafu akaja Benteke.
Lakini Salah ana Strong Force ya Mane na Formino.
Gerrard likuwa na Beki Hypia, Carragher, Skirtel, Kagriakos na Kolo Toure.
Lakini Salah ana VVD
Gerrard Alikuwa na Shit Kipa Reina na Mignolet.
Lakini Salah ana Alisson.
Mabeki Wa Pembeni Ni Manyago wote aliocheza nao Gerrard.
Lakini Salah ana Talented TAA na Robertson .
Viungo aliocheza nao Gerrard walikuwa Wazuri Ni Mascherano na Alonso tu lakini Hakukaa nao Kwa Muda Mrefu.
Bali Salah Ana Wazuri Zaidi Keita na Fabinho wakiwa na Wasaidizi Gini na Milner
Gerrard Kacheza na Makocha Wakawaida Sana.
Salah anacheza na Kocha Mbunifu
Sasa Hapo Timu Tuliyonayo Usijaribu Kuifananisha Na Magarasa aliyochezanayo Gerrard.
Tupe matokeoYani kumbe siku ile tumetoka kufungwa na man city kocha Emery kwa hasira kaongea nao wachezaji kawambia mmecheza tofauti na nilivotaka na kesho yake J3 kaomba gemu na crystal palace ambayo ilichezwa pasipo kutolewa taarifa yeyote...duuuh kumbe ndo mana J4 hawakwenda mazoezini
4-0 alishindaTupe matokeo
CL huwezi kubeba yupo baba ako ramos na Madrid yakeSina haja na FA wala Carabao!
Heri nisubiri miaka nichukue kombe kubwa EPL au CL au Yuropa
Wewe kombe lako ni FA huna team ya kucheza hata final ya kombe lolote kubwa
Mwaka huu nachukua ama EPL au CL
Kabisa, wasidae hujawaonya! πππItakuwa battle ya magoli mengi, chelsk wajiandae kwa kipigo!
CR7 kaondoka na makombe yakeCL huwezi kubeba yupo baba ako ramos na Madrid yake
Yaani keita na fabinho unawafananisha na xabi alonso na javier mascherano katika ubora wao hahahahahahah kweli wewe mpira umeujulia katika play station...........acha matusiKizazi Cha Gerrard Kwenye Timu Alikuwa na Striker Owen, Halafu akaja Torres, Halafu Akaja Balloteli, Halafu akaja Benteke.