Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwa Dstv?*nacho monreal,granit xhaka na Stephan lichtsteiner na David ospina ,Lucas toreira*.....hawa watakuja mazoezin kwanzia tarehe 30/7/2018 na 1/08/2018
Wanakuja London moja kwa moja hawa .
Leo kuna game SAA 8:30 mchana na PSG
Kuwa tayar kushuhudia mtanange huo.
Kwenye modbro itaonekana,
Startimes inaonekana ukilipia 600,
Arsenal.com inaonekana pia
Na application ya arsenal official itaonyesha live.
Timu yetu bado mkuuMwaka huu lazima unyonge utotoke....labda tutapumua...
Nimeona hizi game 3 za pre season team yetu still haina wapambanaji ngoja tumsubiri torreira anaweza kuleta hiyo hali pia beki hamna sijui kwa nini hata tumemsajili sokratisDuuuh more than ten years down the lane stress tupu....bado tu. Hapana tujipe moyo bhana....
Naona sahivi tunaanza kucheza attacking football sideways na backward pass zimepungua ila kuna madogo wanne wanafanya vizuri Niles,Geondozi,nketiah na Smith hasa Smith mzuri sana anacheza ka debruine anazo quality za kuwa star yuko so maturedUnfortunately sijaangalia hata mechi moja nilikuwa likizo kijijini...
Its true but team haina wapambanajiTusirudie Makosa ya Wenger kuwaamini zaidi very young players
Tusirudie Makosa ya Wenger kuwaamini zaidi very young players
Nakubaliana nawe middle ya torreira na Niles itakuwa vizuri sanaNi sawa, lakini kocha Emery amemgundua Ainsley-Maitland Niles kuwa ndiyo atakuwa Nzonzi wetu au Yaya Toure au "maestro" Patrick Vieira.
Kama umenisoma huko nyuma nilidokeza kwamba Emery wakati anafanyiwa usaili alikuwa anazo data za wachezaji wote wa Arsenal ana akawa anamchambua mmoja baada ya mwingine.
Matokeo yake tumeyaona na mmoja wa majeruhi wa mpango mpya wa Emery ni Jack Wilshere.
Jack alikuwa ni majeruhi muda wote halafu alikuwa akipoteza sana mipira katikati, hivyo alipopewa mpango mpya akaamua kuhama na West Ham wamemchukua kwa huruma tu ila anafahamu anakwenda kukaa bench.
Tafuta mechi kati ya Arsenal na Manchester City 2016/17 uangalie jinsi Yaya Toure alivyokuwa twasema "tearing apart" sehemu ya kiungo ya Arsenal ndio utaelewa.
Mapema mno kujaji...Nimeona hizi game 3 za pre season team yetu still haina wapambanaji ngoja tumsubiri torreira anaweza kuleta hiyo hali pia beki hamna sijui kwa nini hata tumemsajili sokratis