Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yah wanamchukua maana tibaut anaenda madrid ,KUNA TETESI KUWA CHELSEA WANATAKA KUMSAJILI TENA PETER CECH
Hahaha noma sanaView attachment 807772Naona mnasajili kwa kasi
Tetesi zinasema mmemsajili kiuno mkabaji hatari kutoka Kenya kwa Psuni Mil 7
Nikweli cech ni kipa bora tatizo ni beki na no 6 na hatujatatua bado huyo sokratis simuoni ka suluhisho lechsteiner umri umesonga hawezi tusaidia kwa asilimia 100 pia monreal amekuwa katika kiwango kizuri kwa misimu miwili mfululizo nahofia kuhusu kuhama au kuchoka coz nae umri umesogea 32 sasa na mbadala wake sioni kocienly majeruhi yanamtoa kwenye ubora wake ajabu mimi still namuona beki wa kuaminika naona ni mavnopolous na mustafi iwapo watapata proper tactics ya kuwaparten!Yah wanamchukua maana tibaut anaenda madrid ,
Binafs nipo tofaut kimawazo na mashabik weng wa arsenal, mm ni kipenz cha Cech, nitaumia akiondoka, naamin ubovu wa bek za kati, Kukosekana Namba 6 natural ndio sababu ya Cech kufungwa vile, ukiacha maboko machache tu yake binafs ambayo hata kina Neur,degea wameyafanya WC
Ili iweje? Tafuta pa kuhamia siyo ArsenalTumefungwa leo Arsenal 1- 2 Brentford. Makosa yalikuwa ya kipa Mjerumani.
Unai out now!!!!
man city nae kapigwa so PEP out au?Tumefungwa leo Arsenal 1- 2 Brentford. Makosa yalikuwa ya kipa Mjerumani.
Unai out now!!!!
Nimeisoma hiyo statement yake, you can feel sorry for a lad, but in reality hakufanya poa kupiga picha zile kwa kipindi kama hiki, though media za ujeruman zimeikuza sanaMesut Ozil ameamua kuachana rasmi na timu yake ya Taifa(Germany) baada ya mvutano wa muda mrefu kutokana na picha yake aliopiga na Raisi wa Uturuki Erdogan,Leo Ozil ametoa statement ya kuachana na timu akilalamika kubaguliwa kutokana asili yake pamoja na kua yeye ni muislamu na pia amefedheheshwa na lawama toka kwa waandishi wa habari wa Germany wanatoa lawama kua yeye ndio sababu timu yao kutolewa mapema kwenye kombe la Dunia
Nita share hiyo statement soon.
Nilivyoielewa statement yake ni kuwa amebaguliwa zaidi kutokana na uhusiano wake na Rais wa Uturuki na asili yake. Swala la kidini kaliuliza as by the way hivi. But wote tuna haki ya kuangalia na kuelewa picha kwa macho yetu.. Ni kweli wajerumani wamemtwisha lawama zisizo stahili. Timu ilifanya vibaya kama timu sio sababu ya mtu mmoja .Mesut Ozil ameamua kuachana rasmi na timu yake ya Taifa(Germany) baada ya mvutano wa muda mrefu kutokana na picha yake aliopiga na Raisi wa Uturuki Erdogan,Leo Ozil ametoa statement ya kuachana na timu akilalamika kubaguliwa kutokana asili yake pamoja na kua yeye ni muislamu na pia amefedheheshwa na lawama toka kwa waandishi wa habari wa Germany wanatoa lawama kua yeye ndio sababu timu yao kutolewa mapema kwenye kombe la Dunia
Nita share hiyo statement soon.
Sijaona kosa la kupiga picha ile . Wajerumani walichanganya siasa na soka isivyotakiwa. Hivi angepiga picha na Trump wangesema? Trump anachukia waislam , anazilaumu nchi za ulaya kupokea Wageni, ameshaishutumu ujerumani kwa vitu vyingi..Wamemuonea kisiasa isivyotakiwa.Nimeisoma hiyo statement yake, you can feel sorry for a lad, but in reality hakufanya poa kupiga picha zile kwa kipindi kama hiki, though media za ujeruman zimeikuza sana
Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje?Sijaona kosa la kupiga picha ile . Wajerumani walichanganya siasa na soka isivyotakiwa. Hivi angepiga picha na Trump wangesema? Trump anachukia waislam , anazilaumu nchi za ulaya kupokea Wageni, ameshaishutumu ujerumani kwa vitu vyingi..Wamemuonea kisiasa isivyotakiwa.
Umeona malalamiko ya Ozil lakini? Amelaumu right wing media kwa kutranslate picha kwa malengo yao. Don't mix sports and politics.Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje?
Pili, Erdogan ni mhasama mkubwa sana wa wajerumani kwa sasa, kaua na kufunga wandishi wa habari wa ujeruman wengi sana hivi karibuni, unadhani wajerumani wangefurahia kumuona star wao akiwa na adui wa nchi yao?
Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje?
Pili, Erdogan ni mhasama mkubwa sana wa wajerumani kwa sasa, kaua na kufunga wandishi wa habari wa ujeruman wengi sana hivi karibuni, unadhani wajerumani wangefurahia kumuona star wao akiwa na adui wa nchi yao?