Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
3 pts, workout kwa kila mtu, CSKA Moscow wakubwa ni mchezo mgumu sana kwetu, tuombe ushindi kwa kucheza vizuri..
3 pts, workout kwa kila mtu, CSKA Moscow wakubwa ni mchezo mgumu sana kwetu, tuombe ushindi kwa kucheza vizuri..
Safi.!FT
Arsenal 3-0 Stoke
Auba..️️
Lacazette..️
FT
Arsenal 3-0 Stoke
Auba..️️
Lacazette..️
Cheki hapa ratiba iliyobaki kwa timu ya arsenal na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.
ARSENAL
Msimamo: Nafasi ya Sita
Pointi: 48
Mechi: 30
Ratiba mechi zilizobaki
Arsenal v Stoke City
Arsenal v Southampton
Newcastle v Arsenal
Arsenal v West Ham
Man United v Arsenal
Arsenal v Burnley
Huddersfield v Arsenal
Arsenal inasubiri muujiza tu ndiyo utakaowafanya wamalize Ligi Kuu England msimu huu wakiwa ndani ya Top Four katika msimamo. Kwa sasa wamekusanya pointi 48 tu katika mechi 30 walizocheza. Kuifikia timu inayoshika nafasi ya nne kwa sasa, inahitaji kushinda mechi tano, huku wenzao hao walipo kwenye nafasi hiyo ya nne, Tottenham wasiwe wameshinda mechi yoyote wala kutoka sare. Arsenal imebakiza mechi nane kumaliza msimu na kama watashinda zote basi wataweza kumaliza msimu wakiwa na pointi 72, ambazo haziwafikii kabisa wenzao waliopo juu kama utabiri utakwenda kama ulivyotabiriwa kwamba Man United itamaliza ligi na pointi 82, Tottenham pointi 77, Liverpool pointi 76 na Chelsea pointi 76. Kwa maana hiyo, Arsenal hawataweza kumaliza Ligi Kuu England msimu huu ndani ya Top Four.
Dah hapo ni kuwaombea njaa tuu adui zetu tayari chesii anaanza kupishaCheki hapa ratiba iliyobaki kwa timu ya arsenal na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.
ARSENAL
Msimamo: Nafasi ya Sita
Pointi: 48
Mechi: 30
Ratiba mechi zilizobaki
Arsenal v Stoke City
Arsenal v Southampton
Newcastle v Arsenal
Arsenal v West Ham
Man United v Arsenal
Arsenal v Burnley
Huddersfield v Arsenal
Arsenal inasubiri muujiza tu ndiyo utakaowafanya wamalize Ligi Kuu England msimu huu wakiwa ndani ya Top Four katika msimamo. Kwa sasa wamekusanya pointi 48 tu katika mechi 30 walizocheza. Kuifikia timu inayoshika nafasi ya nne kwa sasa, inahitaji kushinda mechi tano, huku wenzao hao walipo kwenye nafasi hiyo ya nne, Tottenham wasiwe wameshinda mechi yoyote wala kutoka sare. Arsenal imebakiza mechi nane kumaliza msimu na kama watashinda zote basi wataweza kumaliza msimu wakiwa na pointi 72, ambazo haziwafikii kabisa wenzao waliopo juu kama utabiri utakwenda kama ulivyotabiriwa kwamba Man United itamaliza ligi na pointi 82, Tottenham pointi 77, Liverpool pointi 76 na Chelsea pointi 76. Kwa maana hiyo, Arsenal hawataweza kumaliza Ligi Kuu England msimu huu ndani ya Top Four.
Mpaka tushinde ndo tunaonekana huku🙁
Naona umerudi kwa nguvu zoteMi nipo humu deileee...
Naona umerudi kwa nguvu zote
Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang amesema hakuona tatizo kuacha nafasi ya kufunga bao la tatu, alitaka kuona nyota mwenzake Arsenal, Alexandre Lacazette akifunga penalty hiyo na kumrudishia kujiamini kwake.
Arsenal ilipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stoke juzi Jumapili, huku Aubameyang akiwa amefunga mabao mawili huku Lacazette akifunga bao la tatu baada ya kuingia akitokea benchi.
Aubameyang ameweka wazi kuwa aliacha nafasi hiyo ya kufunga hat-trick yake ya kwanza Arsenal kwa kuwa tayari ameshafanya hivyo mara mbaili akiwa na Borussia Dortmund msimu huu kabla ya uhamisho wake wa Januari pia alitaka kumsaidia Lacazette.
Mfaransa huyo ndiyo kwanza amerejea kutoka katika majeruhi na hii ni mechi yake ya kwanza tangu Februari 10 na alipokea zaidi hiyo kwa ukamilifu.
Tayari nilikuwa nimefunga mabao mawili najua ilikuwa ni vizuri kwake kufunga ili kumrudishia kujiamini kwake," alisema Aubameyang.
Makocha wengine hawaruhusu mtu mwingine kupiga penalty mbali ya yule aliyechaguliwa pekee, lakini ni tofauti kwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ametoa nafasi kwa wachezaji kuonyesha uwezo wao.
We Numbisa una uhusiano wowote na Mwanaspoti???
Hapana nimecopy huko,sema huwa nasahau weka chanzo mwanaspoti
Hongera sana kiongozi songesha jahaziMi nipo humu deileee...
Si wengine tulishajikatiaga tamaa