Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alhamdullilah....

FT
Arsenal 3-0 WAT
3 Goals

3 Points

Clean sheet

Back in winning ways

Yeeeeeessssss we made it...!!!!!
Thanx for the updates man, naona critics walikuwa wengi huko mitandaoni kisa tu Ramsey na Wilshire hawakupangwa.
 
Arsenal keeping the pressure on Chelsea in the race for EUROPA league spot
 
Thanx for the updates man, naona critics walikuwa wengi huko mitandaoni kisa tu Ramsey na Wilshire hawakupangwa.

No worries man....!!
AW alivyopanga timu leo ilikua ni zaidi ku-gamble,Ramsey hakuwepo hata kwenye bench ila Wilshere aliingia akitokea bench asingepata matokeo chanya leo angejuta.
 
RECORDS:
1000 home goals kweye EPL na yamefungwa na wachezaji 100 tofauti.

Cech ametimiza clean sheet 200 baada ya kupambana mechi kadhaa akiwa ame-stuck kwenye 199

We've got Ozil..

Mesut Ozil...

Leo amefikisha assist 50

 
Arsenal imemaliza kipindi cha kushindwa mfululizo katika Premier League kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Watford.
Shkodran Mustafi alitumbukiza wavuni free-kick ya Mesut Ozil kuwapa Gunners bao la kwanza dakika ya nane kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kutumbukiza pasi yake Henrikh Mkhitaryan bao la pili.
Watford walikuwa na fursa nzuri wa kufunga kupitia penalti lakini mkwaju wake Troy Deeney ukazuia na Petr Cech.

Mkhitaryan aligonga msumari wa mwisho kwa jeneza lake Watford na kuipa Arsenal ushindi wa kwanza tangu wawalime Everton 5-1 tarehe tatu Februari.
Ushindi huo unaiweka Arsenal nafasi ya sita, pointi 10 nyuma ya nafasi ya nne Tottenham.
 
Numbisa bwana, umekuwa mtaalam wa makala. We shabiki wa "The Goons"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…