Napendekeza hii THREAD ya ARSENAL iwe suspended/banned hadi pale Wenger atakapoondoka kitini. Baadhi yetu tumeshajisuspend hapa, kilichobaki ni kuchungulia na kuanza. Thank you and God bless you.

Naandika sana kuhusu Arsenal lakini si kwenye uzi huu mfu, siasa nilikuwa busy hata kabla ya uzi huu maana siasa ndizo zilinifanya nijiunge hapa pamoja.
we radika post za huyo zwazwa usiwe unazileta humu bhana...huyo zuzu timu zingine zikifungwa anatulia....ila arsenal ikifungwa anaanza kuchezesha kijambio ka anatafuta mume.....ana mihemko sana na arsenal inabidi Wenger akampose...
Arsenal wako makini kumsaini kiungo wa kati wa Manchester United Henrikh Mkhitaryan 28, kama sehemu ya makubaliano ambayo yatamleta mshambuliaji raia wa Chile Alexis Sanchez, 29, huko Old Trafford. (Guardian)
Arsenal ilifanya mazungumzo na mshambuliaji wa Bordeaux Malcom siku ya Jumapili na wanatarajia kulipa pauni milioni 40 kwa mBrazil huyo wa miaka 20. (Guardian)
hapa ndo nampendeaga commentiator John Champion kwa kijembe cha mechi yenu ya juzi, alimaliza kwa kusema "BOURNAMOUTH 2, SANCHES WITH ARSENAL! 1. nilicheka sana!