Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Ndoto nyingine bana..ndoto kichaa hizi lol..sasa leo mnapigwa hapa na Spurs, halafu unajua zimebaki mechi ngapi?Best unatafuta ninikwenye thread yetu, si mnayo ya kwenu nendeni mkajadili hukohuko. Just a joke but but bado tunautafuta ubingwa!
Bado hatuna msambuliaji anayeweza kujaribu kwa mbali...Eboue anapata nafasi anaaaataka kupiga chenga mpaka kipaaa.aaaaaaaaaaaargh,natamani kuona RVP akiingia mapema......Halafu huy Diaby naye keshaanza kulegea tena,kasi yake inapungua sana......So far So kajitahidi sana...Nina wasiwasi sana na Sylivestre,sina imani naye hata kidogo...Anyways,mpira ni dakika 90...Tusubiri dk 45 za mwisho...Kila la heri...Am off,tuonane after 45+3 minutes...
lol pensioners wanashindwa kukimbia hapa lol
Hivi huyu Wenger kwanini amempanga Silvester?