Kwa Liverpool Gomes amechomesha sana, arsenal kuna beki mfaransa Laurent kolsiern jamaa mtulivu sana, nadhani makosa yanayotokea ni kukosa partnership nzuri na beki Wa kati
Tetesi
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal, Jack Wilshere, 25, yuko kwa orodha kwenye orodha ya kombe la dunia yake Gareth Southgate baada ya kurudi katika kikosi cha kwanza cha Gunners. (The Sun)
Morinyo huwa anavizia tu kufunga hana mpira wowote wa starehe. Game ya arsenal alipaki basi akalala na juu na ninaiona Man United nje ya Top four kwa kuwa haiwezi kumaintain matokeo yake huku wakihitaji mafanikio makubwa mapema.
Man inakufa taratibu.