Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa kuna kitu hakipo sawa, shots on target Arsenal 15 (1) and Man U 4 (3).
 
Arsenal hua inashida moja kuu nayo ni kukosa nidhamu ya ukabaji.

Hua wanainjoi kupasiana huku wanakwenda na kusahau kabisa majukumu ya kuzuia na kwenye hili Mzee Wenger ameshindwa kulifanyia kazi miaka nenda rudi
 
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani
 
Arsenal hua inashida moja kuu nayo ni kukosa nidhamu ya ukabaji.

Hua wanainjoi kupasiana huku wanakwenda na kusahau kabisa majukumu ya kuzuia na kwenye hili Mzee Wenger ameshindwa kulifanyia kazi miaka nenda rudi

hizo ni sifa mbili zinazokinzana,huwezi kumpenda mtu mcheshi hapo hapo umtake awe mkimya!Team zote zinazokuwa zinamiliki sana mpira haziwezi kuhimili zikishambuliwa
 
Hivi hata hamkutambua morinho aliwachezesha makirikiri mkaacha bongo flavour?????
 
Poa tushakong'otwa knuckles 3, tumewachapa nawo kimoja...
Ila game tamu sana sana sana...
Take a note, wazee Petr Čech kachoka! Hata kujirusha kama De Gea?! Angeweza hata kuokoa goli moja! Ni mimi lakini...!
Usiwaone mabeki pobga na lingard second gori mibeki inapitwa kati inaona...!
 
Cha kustahajabisha, eti walivyopunguzwa ndio wakaanza kutukaba vizuri.

Sisi bwanah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…