HT
Everton 1-1 Arsenal
Still,we're in good shape kama fowardline itaamka tunaweza kushinda maana Everton wanalinda tu wakisubiri mashambulizi ya kushtukiza.
FT
Everton 2-5 Arsenal
3Pts muhimu sana,good thing Lacazette,Ozil na Sanchez wote wamefunga ila kitu kizuri zaidi JW10 katumia vizuri dakika alizopewa ame-assist ni burudani kuona tumeshinda.
We're famous Arsenal...
Ndugu zangu wengi wako kwenye maandamano ya WENGER OUT and worse enough timu iko vibaya sana mfano game ya Watford pamoja na kupigwa ila watu hawakuja kutunanga maana wanaona ni kawaida yetu kupigwa.