Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kukosa Champions League kuna athari nyingi.
Kukosa UEFA lazima iwaumize since your club ni ndogo sana. Sisi pamoja na kukosa UEFA lakini tuliweza kuwaleta world class players.
Pambaneni na hali zenu.
 
Arsène Wenger:
2016: "£89m for Paul Pogba is completely crazy."

2017: Bids £92m for Thomas Lemar.

I really don't know what this old man smokes at Emirates everyday morning.
 
Samahani mkuu uliangalia lile pambano vizuri!!!
 
Arsène Wenger:
2016: "£89m for Paul Pogba is completely crazy."

2017: Bids £92m for Thomas Lemar.

I really don't know what this old man smokes at Emirates everyday morning.
Hiyo ya Lemar sidhani kama itatokea. Arsenal dishing out £92 million gonna be a miracle.
 
Tukubali kama wewe ni shareholder wa Arsenal sidhani kama matokeo uwanjani utayajali sana, kuna wakati shares zilikuwa zinauzwa £10,000, nilijilaumu kwa kuzaliwa maskini, Arsenal kifupi ni ATM kwa shareholder, inatema manoti tu kila mwaka..ni shimo lenye dhahabu na sio makinikia!
 
Arsenal wametoa offer ya £92m kwa lemar ,na monaco wamekubal ila sasa mchezaj amekataa kwenda arsenal .
HahahahHaa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hiyo ya Lemar sidhani kama itatokea. Arsenal dishing out £92 million gonna be a miracle.

Hudhani kama itatokea as to go through or attempting to bid?
Arsenal wali-bid, kwa lugha rahisi wameweka mpunga mezani. Lamar for Pauni mil 92 that's beyond madness, huyu mzee anakaribia kustaafu sasa.
 
Yaani hii timu!! tumeshindwa kusajili zaidi ya Lacazette? Halafu tunategemea ushindani? Na tumeuza wengine!!
 
Yaani hii timu!! tumeshindwa kusajili zaidi ya Lacazette? Halafu tunategemea ushindani? Na tumeuza wengine!!

Huyo lemar mngemchukuaga zamn kinoma kipindi kile hata liva hawajaingilia dili mkaambiwa mtoe 60m mkashangaa shangaa

Sasa dogo amekataa maana kwanza kafikiria club haina vision
Pili he is too young to be stressed na kimavi kilichopo emirate

Nyie mkaombewe sio bure why always youooo

Akifungwa united Chelsea liva kelele hazizid siku tatu ila nyinyi kelele na michambo mwezi mzimaaa

Mnalo iloooooh limewafika hapoooo
Dogo lemar kaamua ajishuti kabla hamjamshuti
 
Kikeke yupo live fb anasema dirisha la usajili limefungwa na Sanchez kabaki aseno kotinyo kabaki liva mahrez hajulikani halipo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Liverpool chini ya Klopp atabeba makombe!
Kwa wenger hakuna kombe hapo
Mm namsajili Lamar na Van Djiik wewe unamnyemelea kiungo mkabaji Onyankuru
Baada ya mechi 19 (nusu msimu) nitafute nikupe "hongera" kama majogoo bado yatakuwa hayajanyonyolewa.
 
Kikeke yupo live fb anasema dirisha la usajili limefungwa na Sanchez kabaki aseno kotinyo kabaki liva mahrez hajulikani halipo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Spain dirisha la usajiri linafungwa Leo, so endeleeni kujiandaa kisaikolojia lolote linaweza kutokea

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Kikeke yupo live fb anasema dirisha la usajili limefungwa na Sanchez kabaki aseno kotinyo kabaki liva mahrez hajulikani halipo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Mahrez yupo stand by Barcelona wakishindwa coutinho wanamchukua yeye, Spain dirisha linafungwa leo, 24 hrs after uk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mechi 19 (nusu msimu) nitafute nikupe "hongera" kama majogoo bado yatakuwa hayajanyonyolewa.
March nachukua EPL
OX kaongeza stability
Africa Cup haipo
Coutihno haendi popote
Cylne kapona
Lallana kama usajili mpya Dec
 
Aahhh wacha tu!!
 
Sio mbaya, ubingwa hapana, Europa labda, FA Cup labda...maisha yanakwenda..
Hata tukilalamika haisaidii "Kipenda Roho? Hula Nyama Mbichi..."
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…