Arsenal waanza kuondoa wachezaji wasumbufu. ....
Arsenal ipo katika mtihani mgumu msimu huu baada ya jana jumapili kufungwa goli alba yaani 4-0 na Liverpool huko Merseyside ambapo wachezaji Fimimho, Mohamed Salah, Sadio Mane na Daniel Sturridge walifunga goli hizo alba.
Arsenal haikuonyesha kabisa kujituma katika mchezo huo na mshambuliaji Alex Lazazette ambae alisajiliwa kwa kiasi cha pauni milioni 60 alianzia kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.