Nitampigia Mou amlete Old Traford huyu kijanaSadio mane...
Sio mtu wa sport sport kabisa..
Kwani kuhamia mahali sh. Ngapi?Kuna uwezekano hii ikawa mechi yangu ya mwisho kuitizama, wenger mngethe sana, anaapply theory zake za uchumi ktk timu yetu, baada ya kuchukua watu wa maana. Kuna mizigo anaing'ang'ania (chamberlain, welback, theo) sijui anachukua 10%, kama leo katumia mfumo wa ovyo kabisa, yaani mane na salah wanatiririka, ngojea nijipe likizo mpaka wenger, atakapoondoka naweza nikarudi, sizani kama kutakuwa mabadiliko yoyote
Acha utani tuvumilia presha 2yrsVumilieni tu wadau, miaka miwili ya ku endelea kuwa na mzee sio mingi![]()
Mkishinda mechi tatu against bottom clubs mnasahau kila kitu. Wenger anawajulia washabiki na management ya arsenal...Kuna uwezekano hii ikawa mechi yangu ya mwisho kuitizama, wenger mngethe sana, anaapply theory zake za uchumi ktk timu yetu, baada ya kuchukua watu wa maana. Kuna mizigo anaing'ang'ania (chamberlain, welback, theo) sijui anachukua 10%, kama leo katumia mfumo wa ovyo kabisa, yaani mane na salah wanatiririka, ngojea nijipe likizo mpaka wenger, atakapoondoka naweza nikarudi, sizani kama kutakuwa mabadiliko yoyote