Mkuu unamdharau Chelsea? Ule moto ni mkali sana. Nadhani uliona hata baada ya zile kadi mbili nyekundu goli zikaanza kurudi. Watu wako 9 uwanjani na wanapiga mpira mkubwa
Acha mbwembwe wewe, kwani mlianza mkiwa na wachezaji 9? kabla ya kupewa kadi nyekundu mlikuwa mnaongoza kwa goli ngapi?
Kubali tu kuwa mwaka kuna uwezekano mkubwa wa kumtimua Conte.
Ni mpenzi wa Arsenal namtakia kila la heri Dangote ainunue. He promised that once Arsenal is under his possession the first Man to be fired is Wenger....
Ni mpenzi wa Arsenal namtakia kila la heri Dangote ainunue. He promised that once Arsenal is under his possession the first Man to be fired is Wenger....