Hahahahaha! You must be a joker! Poleni lakini maana Fabregas na Gallas ndio basi. What you prayed to happen to Rooney came back to haunt you....well just principles of karma....or you got the taste of your own medicine!
Spot on - Fabregas smashes his penalty past Barcelona keeper Victor Valdes
This is ... ... ... whats up mate? Goli lililomnyima raha peasant et al.
Come on pretenders!
Destroyer wheels away after scoring
Hahaaaaaaaaaa...Peasant bana,utafikiri Chelsea hawakutolewa....Anyways...hata hivyo Lionel messi ni habari nyingine bana...Unstoppable,hahaaaaaa...Tugange yajayo basi
Hahaaaaaaaa...Sipati picha na ile siku ya game na Man Utd ambayo Chelsea walishinda(kwa kubebwa na Refa na msaidizi wake) ingekuwaje.....ha ha ha duuh ,kama jf ingekuwa hewani juzi naona kusingekalika humu ndani. peasant nakuona ushaweka kambi ha
There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)
- Arsene Wenger
- Peasantha ha "
messi kiboko yane SONG si unaona alivyofichwa game ya kwanza .washukuru sana SONG alikuwa hayupo .
nomaa mkuu.jumatatu ilivyofika bado jf haipo hewani nikasema bora sasa ikae tu mpaka tumalize wimbi la champions league kwanza lol.Hahaaaaaaaa...Sipati picha na ile siku ya game na Man Utd ambayo Chelsea walishinda(kwa kubebwa na Refa na msaidizi wake) ingekuwaje.....
Teh teh teh nilifurahia sana one two kati ya Silvester na Mesi, nadhani Silvester ni chezaji mzuri sana anaweza badili matokeo muda wowote wa mchezo! Thank you Silvester wa Fat Arse Anal
hii lazima ipewe nafasi kidogo maana haikupata kujadiliwa, shukuruni JF ilikuwa haiko hewani....lol