Mkuu watu kama hao njia nzuri ya kuwaonyesha kua wamekosea jukwaa ni kuwakaushia maana wenzake wengi tu wameamua kuondoka wenyewe kila wakileta utoto wao hakuna anaewajibu.
No Ozil,Ramsey,Kos na Sanchez hee hee hee AW anajiamini sana,ila mara nyingi anatoboa na vikosi vya namna hii ingawa game tunaangalia kwa presha mwanzo mwisho.