Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani nawalaumu waliomruhusu kuwa na hisa kwenye timu!!!
 
Ila bado man u ana ndoo 3 msimu huu..



Ukiona umemaliza msimu bila EPL hakika hata uchukue makombe mengine yote except UCL hakuna anaekuchukulia serious,mimi ni shabiki wa Arsenal ila msimu huu Chelsea katia heshima pale England sisi wengine acha tujifariji na ivi vya kuungaunga,narudia tena England bingwa na kidume ni yule ananyanyua kwapa kwenye EPL.
 
Umesema kweli mtani hii pesa pauni milioni 150 sio mchezo huipati kwenye kombe lingine hata Uefa huipati
 
Mwisho wa siku yote yanahesabika kama major trophies isipokua CS
 
Mwisho wa siku yote yanahesabika kama major trophies isipokua CS

Ndani ya miaka 4 uyu AW kabeba FA mara 3 tena mara mbili ilikua back to back niambie nani anampa heshima watu wanendelea kuhesabu misimu lundo ambayo amekosa EPL kwa nini wasikaushe kwa kua wamebeba hili FA tuweke ushabiki kando ukinyanyua EPL hakika unakua hauna deni kwa wanaokutazama,LVG alibeba FA ila wahuni wakamuambia tupishe tuna jambo la msingi zaidi ya FA.
 
Hongereni watani jana na leo na siku zifuatazo ni za furaha kwenu mjimwae mwae na yoyote atakae kuja na maneno ya kejeli na dhihaka wapuuzeni ili msiharibu furaha yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…