Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Pamoja na hayo sioni Chelsea kama ana ubavu wa kushinda hii mechi. Welbeck uchoyo apunguze angetoa pande pengine wangeliongeza la piliHT
Arsenal 1-0 Chelshit
Kulikua na nafasi za kua mbele kwa goli zaidi ya 1 ni kutokua tu makini kwa wachezaji.