Hata hivyo Ramsey siyo mwingerezaBinafsi, waingereza wanaochezea Arsenal sasa sijawahi wakubali, Ramsey alinishawishi msimu mmoja akapotea mpaka leo hajarudi.
Kucheza kwenu Europa hakuepukiki[emoji16][emoji16]
It's over 3-0Tusubiri FT ndipo tupate matokeo ya jumla mkuu.
Haaaaaaaaa. Watacheza na nani kwaniAfadhali asee, yaani hakuna kitu nilichokuwa nakiombea kama Arsenal kucheza Alhamisi maana walivokuwa wanatucheka.
Bhaaaaaaaaassssss hakuna namna tena [emoji24][emoji119]