McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Wee acha tu. Sijui nilianzaje kuzipenda hizi timu, kuhama siwezi!! Ngoja nikomae nazo tu, roho ishapenda!Kumbe nyie ni Arsenal wenzangu?
Ila mkuu barafuyamoto umepata maumivu mara dufu!
Huku Simba kule Arsenal,dah!
Huu ulikuwa ukuta kweli, na kabla haujawafikia hawa lazima udili na Viera kwanza, dah!Lee Dixon, winterburn,Tony Adams, keown, hii ndio beki bora ya arsenal
Binafsi, waingereza wanaochezea Arsenal sasa sijawahi wakubali, Ramsey alinishawishi msimu mmoja akapotea mpaka leo hajarudi.Bellerin ni mzuri sana, Cech kachoka mno, bado tunamuhitaji Mtakatifu Carzola japo injury hua hazimwishi. Pia naamini kua Chamberlain ni aina ya mchezaji ambae akipata cocha kwenye hamasa anaweza kuleta matokeo. Wengine wote wasepe, hawana quality ya kuwepo Arsenal.
Mungu yupo nasi, tuendelee kuomba️..Sanchez
Dakika ya 28
Tupumzike tupumzike kaka, kwa kweli tulianza fresh mno, tuko kama puto sasa, mwenzenu nishajiandaa na @europaleague, muhimu kuliko chote [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] [HASHTAG]#kronkeout[/HASHTAG] @alisheriusmanov @allegriinHii Arsenal bora tupumzike kidogo,,tujipange tena,,wenga na kraonke ni kama vile wanatokea North Korea.Ila dawa yao ni pressure tu.Liver wakipoteza hii nafasi watakuwa wamekosea sana.
Kila msimu huwa tunasema hivi shida akishinda FA cup ndo basi tena board inampatia mkataba huooooo tena wa miaka 5Tupumzike tupumzike kaka, kwa kweli tulianza fresh mno, tuko kama puto sasa, mwenzenu nishajiandaa na @europaleague, muhimu kuliko chote [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] [HASHTAG]#kronkeout[/HASHTAG] @alisheriusmanov @allegriin
Nimechoka na huyu babu kabisa kabisa..
Kila msimu huwa tunasema hivi shida akishinda FA cup ndo basi tena board inampatia mkataba huooooo tena wa miaka 5Tupumzike tupumzike kaka, kwa kweli tulianza fresh mno, tuko kama puto sasa, mwenzenu nishajiandaa na @europaleague, muhimu kuliko chote [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] [HASHTAG]#kronkeout[/HASHTAG] @alisheriusmanov @allegriin
Nimechoka na huyu babu kabisa kabisa..
Kishanuka huko biieNaona kwa 'wabaya' wetu bado ni 0-0
Tuendelee kuomba
Imeniumaaaaaa dah! Ngoja tusubiri SHHT
Arsenal 2-0 Everton
Upande wa pili Liva anaongoza goli 1 hii ni kwa wale wenye imani wenzangu...
Tusubiri FT ndipo tupate matokeo ya jumla mkuu.Kishanuka huko biie