Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Arsenal 1-0 Lei
Important 3 Pts ingawa kwa mbindeeeee sana,thanks kwa Monreal naona bahati iko upande wake.
 
Granit Xhaka amepiga pasi kwa usahihi katika michezo 4 iliyopita ya ligi kuu (EPL) kwa wastani wa 90%
89% vs West Ham
89% vs Palace
90% vs Boro
93% vs Leicester

Takwimu za Granit Xhaka katika mchezo dhidi ya Leicester city

Granit Xhaka Vs Leicester
113 touches
93% pass accuracy
3 shots
3 tackles
1 interception
8 ball recoveries
 
Olivier Giroud ataachana na viatu vyake vya njano ambavyo vimezoeleka akionekana akichezea na atatumia venye mchanganyiko wa rangi nyekundu na nyeupe kwenye mchezo wa (north London derby) dhidi ya Tottenham,viatu hivyo vilivyotengenezwa na kampuni ya PUMA vimenakishiwa kwa nembo ya Gunners
 
Duh pale white hart lane sio salama safari hii inabidi tukaze haswaaa tukiendelea kucheza kama game za nyuma tutaumia.
LONDON IS RED....COYG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…