Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsante sana Mkuu Guasa Amboni. Kama sikosei huu ni mwaka wa nne sasa tangu kelele za kumuondoa Wenger zilipoanza rasmi lakini owners na management ya Arsenal wameamua kutia pamba masikioni. Na kuna rumours kwamba tayari jamaa kaahidiwa kupewa contract extension ya 2 years.

Pole BAK uzuri muda huu una ganzi uliisha ikatia tamaa mapema timu yako so matokeo hayakuumi sana ingawa kiushabiki maumivu yapo.
 
Lazima watie pamba wale wapo kibiashara zaidi vikombe sio kipaumbele chao. Inaumiza mashabiki wake kwa kuangalia biashara tu wakati vyote viwili vinawezekana vitabu vikasoma uzuri na vikombe vikaja pia.
 
Kumbe we jamaa upo Ase10 haha
pole aisee huwa najua upog liverpungaa
 
Reactions: BAK
Naam kibiashara Arsenal wako vizuri sana na hawa Wamarekani wanachojali ni faida tu, lakini wanasahau faida hiyo inatoka kwa mashabiki wanaoridhika na performance ya timu. Wapenzi wakisusa kwenda uwanjani na kununua Arsenal gears mbali mbali hiyo profit itayeyuka.

Lazima watie pamba wale wapo kibiashara zaidi vikombe sio kipaumbele chao. Inaumiza mashabiki wake kwa kuangalia biashara tu wakati vyote viwili vinawezekana vitabu vikasoma uzuri na vikombe vikaja pia.
 
Hakuna anaependa Msiba bali hawa Arsenali kila siku. Mmetuchosha n.a. michango ya kila siku. Kila kukicha rambirambi duuu....we are now tired.
 
Don't worry, I know what I will do in my future. You will soon know. Very soon. You will see. Today, I don't necessarily worry about that. I know what I do,' said Wenger.

Asked if Arsenal knew what he had decided, Wenger said: 'No.' And he said that the decision would not be announced during the international break.
 
Pole my dear yaani Wenger anakutesa sana,kwetu hutaki kuja
 
Ahsante kwa ukaribisho yaani ni bora tu nibaki kutokuwa na timu kuliko kuja kwenu. Pamoja na hayo kuna wakati nilikuwa sitaki kukosa mechi zenu kabisa maana kandanda mlilokuwa mkicheza wakati ule lilikuwa si la kawaida.

Pole my dear yaani Wenger anakutesa sana,kwetu hutaki kuja
 
Humu kuna msiba mkubwa, poleni wafiwa, [HASHTAG]#Wenger[/HASHTAG] apewe mkataba mpya tu kwasababu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…