Nimesikitika sana. 20 yrs is too much for any manager, only SAF could manage.
Kuzidi kuwa kocha wa Arsenal kwa sasa kutamfanya Wenger azidi kudharaulika, au huyu mzee yupo kama waafrika, yaani ana hulka za kiafrika? Mbona wenzetu weupe wakiboronga wanaachia ngazi kirahisi tu!!!