Msiogope kumuondoa Wenger
Ije idea mpya
Sisi tunaona progress,akileta tu beki mbili za maana kati na mido kabaji ya ukweli tuta challenge ubingwa
Anatakiwa aondolewe sasa...Wenger Out...Wasipomuondoa mwisho wa msimu basi wamiliki wa timu wakapimwe akili zao.
hahahaaaa hata la uchochoroni mwee.Hongera Mkuu Arsenal mbende mbende, hatustahili kushinda hata kombe la uchochoroni.
kuna matanga usijali.Khe khe khe khe khe kheeeeeeee..sijui nimechelewa msibani???
utabiri wako noma.Gam litaisha 3-1
Pole naona Wenger anazidi kukunyong 'onyeza mambo hata kwetu sio mazuri sanaHongera Mkuu Arsenal mbende mbende, hatustahili kushinda hata kombe la uchochoroni.
Sisi bado tunamuhitaji,tunaomba asaini mkataba mpya
Kuna habari kuwa Wenger aligombana na Sanchez katikati ya wikiHivi Wenger alimweka bench Sanchez kwa sababu gani hasa?
Kwa ajili ya mechi ya Buyern Munich?
That was madness.
Mmeanza kumchokoza mzee wa watu ...!!Vipi ameshasaini au kalamu imegoma?
Huyu Mzee apumzike tu, mbinu zimeshamwacha mkono. Sio kama hana wachezaji, wachezaji wake ndio wanamwangusha, wengi ni kama mrenda(bamia) anatakiwa awapeleke wachezaji wake kufanya mazoezi na timu za Rugby au mieleka.
Mourinho ni mtu pekee mwenye furaha anapomuona Wenger.