Usijali mkuu kuna agenda kwenye media etc mchezaji wa Loserfools alitakiwa kupata second yellow badala yake Granit akapewa kadi its so ridiculous. Thats EPL for you ngoja mwakani kutakuwa a third official kwenye FA cup on TV, na hiyo inakuja kwenye EPL hapo ndipo brown envelopes zitaisha, ni aibu.
Huyu Mzee apumzike tu, mbinu zimeshamwacha mkono. Sio kama hana wachezaji, wachezaji wake ndio wanamwangusha, wengi ni kama mrenda(bamia) anatakiwa awapeleke wachezaji wake kufanya mazoezi na timu za Rugby au mieleka.
Mourinho ni mtu pekee mwenye furaha anapomuona Wenger.